Saluut wakubwa

Slave hapa hakuna ndoa Bujibuji kaniambia kuwa mwaJ ananisaka na bisibisi za kuchomoa kucha kisa Mwita Maranya
usingekuwa na yule wa jukwaa la chini ningebaki na wewe,
kutokana na hayo yoooote Mamndenyi bado nipo nipo kwanza.
Mamndenyi tangu mwanzo nilishakuambia sisi wanasiasa huwa hatujui kutoa talaka. Sasa maadam ulishakubali kuingia kwenye 18 zangu hiyo habari ya kusema kuwa bado upo upo kwanza futa na sahau kabisa. Mimi bado niko na wewe na wala sitarajii kulisaliti agano letu.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…