mweto Mwita Maranya nikose hela na sound nazo ?Tehetehetehe poti Slave kumbe na wewe unajua kupiga sound? aminia mura weito.
Bahati yako Mamndenyi umestuka mapema! Sio bisibisi peke yake, ninatembea pia na viwembe na vitu vyenye ncha kali!Slave hapa hakuna ndoa Bujibuji kaniambia kuwa mwaJ ananisaka na bisibisi za kuchomoa kucha kisa Mwita Maranya
usingekuwa na yule wa jukwaa la chini ningebaki na wewe,
kutokana na hayo yoooote Mamndenyi bado nipo nipo kwanza.