salute wakubwa wa jf....

salute wakubwa wa jf....

gambagumu

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2011
Posts
2,341
Reaction score
3,167
nimekua mfatiliaji wa jukwaa hili kwa kitambo,na nimeshawishika er ili niweze kutoa mawazo yangu
 
We wamekuvuga ccm unakimbilia uku! Ccm eti wamevua makamba oho sori gamba! Natania mkuu,karibu!
 
maria roza,ulimkafu.gsana,chatudume na sweetlady na katavi nashukuruni kwa kunikaribisha...
 
gambagumu karibu JF una mpango wa kujivua hilo gamba
 
hilo gamba litatoka kweli?
karibu bana,njoo tujenge taifa kwa mawazo yetu mazuri
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom