Ulongupanjala
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 7,724
- 12,381
Acha watu wachakate Mbususu kwa raha zao.
There is no way.
There is no way.
Mitaa Ile kunyoa ni 20k..ukiwa mzembe unaweza kumaliza zaidi ya 100k maana kila watakachokwambia utajikuta unaitikia ndio tuuu...kuna moja ipo mikocheni kwa nyerere ile njia ya juelekea science via Rose garden, Ebwana kuna barbershop moja matata sana hapo mkono wa kushoto kama una tokea kwa Mwalimu yaani kuna pisi matata sana nazioga hapo nje zimejitandaza tu na dhanj huwa zina subiri wateja na sija wahi kuwaza kama huwakinachoendelea under cover ila sidhanj bwana mna wasinguzia tu nafikiri hao wanao fanya umalaya ni wale wa massage parlour
Wewe nikama mimi ... yani ukifika pale utasikia nahizi chunisi tuzitoe, hujakaasawa utasikia tikufanyie na scrub , huja kaasawa utasikia ,tuwekee na wave, mwisho wasiku utajikuta unasema sawa kwajinsi wanavyo kushika shika ..... akili zikirudi unagundua ule ni wizi mtupuMitaa Ile kunyoa ni 20k..ukiwa mzembe unaweza kumaliza zaidi ya 100k maana kila watakachokwambia utajikuta unaitikia ndio tuuu...
Mimi nimehamia uswahilini saiv.. Nanyoa bila shida naenda kuoga nyumbani baada ya kunyoa
Alafu unabaki na mwanamke pekee anakuhudumia.Yani hizi barbershop ndo usiseme kuna vyumba unaingizwa huko ndani ni balaa
beba ela.ya kunyolea tu simu na vitu vingne vya thaman acha home ili akikwambia ayo yote we uwe unamjibu "dada nina ela ya kunyolea tu si unaiona ?"Wewe nikama mimi ... yani ukifika pale utasikia nahizi chunisi tuzitoe, hujakaasawa utasikia tikufanyie na scrub , huja kaasawa utasikia ,tuwekee na wave, mwisho wasiku utajikuta unasema sawa kwajinsi wanavyo kushika shika ..... akili zikirudi unagundua ule ni wizi mtupu
Wapi mkuu nielekeze saloon moja nikajionee mwenyewe mana raha ya ngoma ucheze
Acha unoko we jamaa usituharibie chimbo zetu hujalazimishwa kwenda kunyoa salon unaweza kunyolea wembe, kisu au kipande cha chupa ukiwa nyumbani kwakoHabari za mda huu wadau kwa uchunguzi wangu wa hapa dar saloon nyingi za kiume kuna mambo mengi sana yana endelea chini ya kapeti kuna umalaya sana na uzaji mkubwa sana wa dawa za kulevya wadada wanajiuza wazi wazi
Hii ina athiri jitihada za serikali ya kupunguza mambukizi mapya ya VVU na UKWIMWI najua pengine humu kuna wadau na mambo haya lakini ni muda mwafaka sasa serikali kuliangalia hili swala kwa mapana yake
View attachment 2226110View attachment 2226112
Bei gani shoo zaoSiyo vzri kutaja majina ila barbershop nyingi wadada wanajiuza live ukisha ingia mle ndani full kukushika shinda na vi maswali ya kichokozi mixer kivaa nusu uchi
Utafiti wako ulikuwa wa kinadharia au ni kwa vitendo mkuuHabari za mda huu wadau kwa uchunguzi wangu wa hapa dar saloon nyingi za kiume kuna mambo mengi sana yana endelea chini ya kapeti kuna umalaya sana na uzaji mkubwa sana wa dawa za kulevya wadada wanajiuza wazi wazi
Hii ina athiri jitihada za serikali ya kupunguza mambukizi mapya ya VVU na UKWIMWI najua pengine humu kuna wadau na mambo haya lakini ni muda mwafaka sasa serikali kuliangalia hili swala kwa mapana yake
View attachment 2226110View attachment 2226112
Rudi shamba ww.jiji tuachie wenyewe