Saluni za kunyoa hasa za Dar kuna umalaya mkubwa unaendelea

kuna moja ipo mikocheni kwa nyerere ile njia ya juelekea science via Rose garden, Ebwana kuna barbershop moja matata sana hapo mkono wa kushoto kama una tokea kwa Mwalimu yaani kuna pisi matata sana nazioga hapo nje zimejitandaza tu na dhanj huwa zina subiri wateja na sija wahi kuwaza kama huwakinachoendelea under cover ila sidhanj bwana mna wasinguzia tu nafikiri hao wanao fanya umalaya ni wale wa massage parlour
Mitaa Ile kunyoa ni 20k..ukiwa mzembe unaweza kumaliza zaidi ya 100k maana kila watakachokwambia utajikuta unaitikia ndio tuuu...

Mimi nimehamia uswahilini saiv.. Nanyoa bila shida naenda kuoga nyumbani baada ya kunyoa
 
Wewe nikama mimi ... yani ukifika pale utasikia nahizi chunisi tuzitoe, hujakaasawa utasikia tikufanyie na scrub , huja kaasawa utasikia ,tuwekee na wave, mwisho wasiku utajikuta unasema sawa kwajinsi wanavyo kushika shika ..... akili zikirudi unagundua ule ni wizi mtupu
 
beba ela.ya kunyolea tu simu na vitu vingne vya thaman acha home ili akikwambia ayo yote we uwe unamjibu "dada nina ela ya kunyolea tu si unaiona ?"
 
Kuna salon moja pale maeneo ya Mori --sinza,,

Kuna siku niliifika pale nikiwa nahitaji kunyoa.

Nimefika nimekaa kwenye kiti cha kunyolea bila ya kuuliza gharama za kunyoa.

Si unajuwa siku ukiwa na kibunda cha pesa unajiamini popote?

Basi wakuu,,

Kati Kati ya huduma nikauliza bei nikaambiwa 5000/.
Nikasema powa.

Baada ya kumaliza kunyolewa, wakanirukia warembo 2 wakiwa na mavazi ya mitego mitupu,

Wote wana vikaptula vifupi Sana ,
na blauz ambazo zakuonyesha kitovu hata nusu ya tumbo lote lipo nje.

wakanipeleka chumba kingine cha private.,
Huko ilikuwa ni hatari na nusu,

Huyu kashika shingo,
Mwingine kashika kichwa anafanya scrub,
Huku wananizungumzisha maneno matamu ya kimahaba mahaba.

Yaani ilikuwa ni mitego mitupu.

Hapo nikaanza kuhisi dalili zote za kupigwa na kitu kizito chenye incha kali kichwani ,

Maana kila kitu utafanyiwa na baadae unapigiwa hesabu.,

Mimi Hadi nashtuka nimepewa bills ya 10000/.,

Nisingekuwa mbishi wa kukataa baadhi ya huduma ningepigwa hata 20000.

Jinsi wale wadada walivyo,
Hakika Ile ni zaidi ya huduma ya salon,
Ile ni biashara ya mbususu straight.
 
Habari za mda huu wadau kwa uchunguzi wangu wa hapa dar saloon nyingi za kiume kuna mambo mengi sana yana endelea chini ya kapeti kuna umalaya sana na uzaji mkubwa sana wa dawa za kulevya wadada wanajiuza wazi wazi

Hii ina athiri jitihada za serikali ya kupunguza mambukizi mapya ya VVU na UKWIMWI najua pengine humu kuna wadau na mambo haya lakini ni muda mwafaka sasa serikali kuliangalia hili swala kwa mapana yake
View attachment 2226110View attachment 2226112
Acha unoko we jamaa usituharibie chimbo zetu hujalazimishwa kwenda kunyoa salon unaweza kunyolea wembe, kisu au kipande cha chupa ukiwa nyumbani kwako
 
Habari za mda huu wadau kwa uchunguzi wangu wa hapa dar saloon nyingi za kiume kuna mambo mengi sana yana endelea chini ya kapeti kuna umalaya sana na uzaji mkubwa sana wa dawa za kulevya wadada wanajiuza wazi wazi

Hii ina athiri jitihada za serikali ya kupunguza mambukizi mapya ya VVU na UKWIMWI najua pengine humu kuna wadau na mambo haya lakini ni muda mwafaka sasa serikali kuliangalia hili swala kwa mapana yake
View attachment 2226110View attachment 2226112
Utafiti wako ulikuwa wa kinadharia au ni kwa vitendo mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom