Salum Rashid Hamduni kutoka ACP mpaka CP. Je, ndiye IGP ajaye baada ya Sirro kustaafu?

We jamaa kweli makalio.

Naona hata kuendelea kuongea na ww ni against morality.

Kwamba Magereza ya Kilimanjaro yana Usalama mdogo kwa mahabusu kushinda ya Dar?? Kwamba mahakimu wa RM Dar wako vizuri kushinda RM Kili?

Pathetic

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
Jaji mfawidhi sio jamaa ila ni mwanamke tena pisi kali au jaji mfawidhi unasemaje?
 
MAKOSA ya SABAYA ni ya Kisutu ili makamera yammulike, Lema Lissu, Uamsho mbona hawakushtakiwa Zaznibar, Ikungi na Arusha?
By the way Criminal offence mahakama zote Tanzania zina jurisdiction.

unataka kubishana na jaji ?
Umeingia chaka....
Jaji mfawidhi hujui hata territorial jurisdiction..
hakuna ulazima wa kuleta shauri Kisutu..
ni huko huko Moshi
 
Umeingia chaka....
Jaji mfawidhi hujui hata territorial jurisdiction..
hakuna ulazima wa kuleta shauri Kisutu..
ni huko huko Moshi
wewe unazungumzia Civil Cases mimi nazungumzia criminal cases.
Unajua yule jamaa pale mwanga aliyepiga picha gari za DG Wa TISS wakamkamata na kumleta Dar na kesi yake ipo KISUTU, vipi hapo unasemaje?
 
wewe unazungumzia Civil Cases mimi nazungumzia criminal cases.
Unajua yule jamaa pale mwanga aliyepiga picha gari za DG Wa TISS wakamkamata na kumleta Dar na kesi yake ipo KISUTU, vipi hapo unasemaje?
We jamaa mbona unakua kama taaira??

1. Wakati wa Pombe kulikua hakuna Rule of Law so relax

2. Yawezekana kosa lilifanyika Dar akakamatiwa Mwanga.

Yote yanaweza kua majibu.

Ila Nyie wasomi wa sheria mbona sisi laypersons tunawazidi??

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
 
We jamaa mbona unakua kama taaira??

1. Wakati wa Pombe kulikua hakuna Rule of Law so relax

2. Yawezekana kosa lilifanyika Dar akakamatiwa Mwanga.

Yote yanaweza kua majibu.

Ila Nyie wasomi wa sheria mbona sisi laypersons tunawazidi??

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
so sorry najua wewe ni dent open university na unatumia madesa, ila jifunze kwa mtu wa certificate ya sheria hata wa online university, utaelewa. sikulaumu hata kikwete amesema kosa ni elimu duni ulilopewa.
 
Back
Top Bottom