Just Pray
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 2,142
- 4,779
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Salum Mwalimu, ameambatana na mgombea mwenza wake Devotha Minja kufika kwa mbwembwe katika ofisi za Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Njedengwa, jijini Dodoma, kuchukua fomu za uteuzi wa Rais na Makamu wa Rais kwa Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025.
Wagombea hao waliwasili wakiwa wamesindikizwa na msafara mkubwa uliojaa umati wa wafuasi wa chama hicho, wakipiga nderemo na kushangilia katika maeneo mbalimbali walipopita.
Wagombea hao waliwasili wakiwa wamesindikizwa na msafara mkubwa uliojaa umati wa wafuasi wa chama hicho, wakipiga nderemo na kushangilia katika maeneo mbalimbali walipopita.