Salum Mwalimu akamatwa!

Salum Mwalimu akamatwa!

Kyakashombo

Senior Member
Joined
Oct 13, 2018
Posts
164
Reaction score
235
Naibu katibu mkuu wa Chadema Zanzibar Salum Mwalimu amekamatwa na polisi huko Mafinga Mkoani Iringa akiwa anajiandaa kuhudhuria kikao cha ndani cha Chama hicho.
 
Du amakweli vyama vya siasa kwishnee maana kila anaye jaribu kufurukuta anaswekwa ndani ?
 
Hii serikali ni sikio la kufa...
Zamu hii wata kuwa wapole tu, wanaume wameshaanza, japo jiwe anaona aibu kuonekana ame banwa ila hana jinsi, tutegemee kuona mabadiriko, hana namna, alidhani kuongoza nchi ni kama familia, unajiamulia tu kinachokuja kichwani
 
Hii sasa hujuma ya ndani kwa ndani.
Walio chini yake huenda nao hawafurahii, wamepata sehemu ya kupigilia msumari.
 
Back
Top Bottom