Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 2,437
- 5,235
Hivi ndivyo Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Salum Mwalimu alivyokaribishwa jukwaani kuwahutubia wafuasi wa chama hicho kwa wimbo wa Mchizi Mox uitwao ‘Mambo Vipi!’
Leo Agosti 31, CHAUMMA kinafanya ufunguzi wa kampeni katika viwanja vya Biafra - Kinondoni jijini Dar es Salaam
Leo Agosti 31, CHAUMMA kinafanya ufunguzi wa kampeni katika viwanja vya Biafra - Kinondoni jijini Dar es Salaam