GE2025 Salum Mwalimu aahidi 'Flyovers' Tunduma

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,129
Mgombea urais wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Salum Mwalimu, ameahidi kujenga barabara za juu (flyovers) katika mji wa Tunduma ili kupunguza msongamano wa malori katika eneo hilo la mpakani.

Mwalimu alitoa ahadi hiyo leo alipokuwa akizungumza na wananchi wa Tunduma, kabla ya kuelekea mkoani Mbeya kuendelea na kampeni zake za kuomba ridhaa ya kuiongoza Tanzania kupitia Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025.​
Your browser is not able to display this video.
 
Reactions: Lax
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…