Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,506
- 15,999
Kuna sintofahamu chadema zanzibar,naibu katibu mkuu ambaye anapaswa kuwa Zanzibar yeye kutwa kuchwa yupo ufipa.
Badala ya kuwa zanzibar
kueneza chama yeye hatejelezi majukumu yake,aligombea ubunge huku unguja japo aliondoka bila kuaga.Hakukata rufaa kama chama killivyoekeza wagombea wote walioshinda wakate rufaa.Salum Mwalim njoo zanzibar la sivyo utatumbuliwa kwa kukaa nje ya kituo cha kazi.