Salooni ya kipara

Salooni ya kipara

Marire

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2012
Posts
12,333
Reaction score
5,315
Hapa ni vipara kwenda mbele
 

Attachments

  • 1438943352108.jpg
    1438943352108.jpg
    24.5 KB · Views: 787
Mkuu naomba namba ya huyu Babu maana upaa wangu unahitaji kinyozi wa aina yake🙂
 
Ananikumbusha enzi ziiiiiiiileeeeee! Maana haya mambo ya salon na mambo ya scrub ni ya kisasa zaidi..
 
Huu utakua ukatili wa kimasikini kwani anaogopa pesa ya mafuta na maji na sabuni
 
hana haya huyu mzee anampiga mwenzie para
 
hiyo mbona kidogo hujaona kukata na shoka
 
Back
Top Bottom