Saloon Equipments

Mau

Senior Member
Apr 8, 2009
176
10
Habarini za hapa wan JF
Naombeni msaada ili niweze kupata vifaa vya Saloon ya kiume (Barber Equipments)
Mimi nipo Mwanza kama nitavipata hapahapa mwanza itakuwa fresh na pia kama nitavipata Dar es salaam poa pia
Vitu ninavyohitaji ni kama ifuatavyo
1. Barber Chairs 4
2. Cliper 8
3. Sterilizer 2
Na vinginevyo kama mtaweza kunishauri wanajamii
 
Njoo Dar hapo fire kuna duka linaitwa Radium Salon Equipments, wana kila unachohitaji. Ila km unataka kwa hapo hapo Mwanza nipigie kwa 0715555512 nikuelekeze pa kuvipata
 
Habarini za hapa wan JF
Naombeni msaada ili niweze kupata vifaa vya Saloon ya kiume (Barber Equipments)
Mimi nipo Mwanza kama nitavipata hapahapa mwanza itakuwa fresh na pia kama nitavipata Dar es salaam poa pia
Vitu ninavyohitaji ni kama ifuatavyo
1. Barber Chairs 4
2. Cliper 8
3. Sterilizer 2
Na vinginevyo kama mtaweza kunishauri wanajamii

HAbari za sahv, Kwa sasa ukisikia mtu yeyote anataka viti vya saloon naomba tuwasiliane kwa namba hzi 0777/0715-875037. Bei zetu ni nafuu sana tunauzia godown kwa wenye maduka ya mjini lkn ww unaetaka kwa ajili ya kufungua saloon pia tutakuuzia bei ile ile. na by January tunategemea kuleta vifaa vyote vya saloon. pia tutauza kwa bei poa sana. Asanteni
 
Back
Top Bottom