P I M
Senior Member
- Feb 16, 2011
- 139
- 24
Habari za zenu wana jf.
Binafsi mimi nipo jijini Mwanza na nina shida sana na salon ya kiume kama yupo yeyote mwenye salon hiyo ama ana chumba cha kupangisha kisichozidi 50,000 kwa mwezi na mwenye chumba awe tayari kupokea kwa miezi sita yaana 300,000.
Maeneo ninayoyapendelea kwa sana ni Nyamanoro, Pansiasi, Mbugani, Mkanyenye (kwa huku mwanzoni karibu na friends cona bar), Mabatini, Nyakato (hasa Nyakato National) Nella, na eneo lolote zuri ambalo litaendana na biashara hiyo.
Kumbuka chochote kitakachopatikana, iwe ni Salon inauzwa ama Chumba kinapangishwa badi vyote kwangu navihitaji sana.
Kwa yeyote mwenye kuwa navyo tuwasiliane kwa +255658160186 & +255756639069 i hope wana jamii mnaopatikana Mwanza mtanisaidia katika hili