Kirusi ni kiumbe kinachotegemea kiumbe kingine (host) ili kiwe na maisha, ni living thing kwasababu ya kuwa na baadhi ya sifa za viumbe hai, lakini hajakamilika.
Muache twende taratibu maana yeye anadhani kua kirusi hakifi
Kirusi kinakufa ila si kwa sababu rahisi na ndo maana kina muda fulani wa kusavive..
Nikasafishwa, nikaambiwa kuhusu risk ya ukimwi na Homa ya ini..
ok...twende taratbu utanielewaNon living...
unaposema ", ni living thing kwasababu ya kuwa na baadhi ya sifa za viumbe hai, lakini hajakamilika."Kirusi ni kiumbe kinachotegemea kiumbe kingine (host) ili kiwe na maisha, ni living thing kwasababu ya kuwa na baadhi ya sifa za viumbe hai, lakini hajakamilika.
kwa hyo kwa sababu sio wote wana UKIMWI ndo mana unaamini kirus anakufa?Muache twende taratibu maana yeye anadhani kua kirusi hakifi na ndo maana unaambiwa kirusi fulani kinaweza kusavive labda mazingira fulani kwa muda fulani kutegemea na condition fulani sasa hapo ndo anashindwa kuelewa.
Kirusi kinakufa ila si kwa sababu rahisi na ndo maana kina muda fulani wa kusavive..mfano huwezi kunambia uchukue kirusi labda cha HIV ukakiweka kwenye joto la nyuzi 100 labda kwa 1hr halafu kikawa kizima lazima kitakufa maana kinachokipa uhai ni nuclear na tayari imeshaharibiwa.
Pia na kama kingikua hakifi nje ya Host hata kama hakuna mazingira yanayomruhusu kuishi wote tungelikua na ukimwi.
unaposema ", ni living thing kwasababu ya kuwa na baadhi ya sifa za viumbe hai, lakini hajakamilika."
unamaanisha nn?
duh sawa heb kila mtu abaki na analolijua maana mm n mviv sana kutype yaan nina maelezo marefu kichwan sasa kuyaweka hapa ndo kazi.Sayansi darasa la tatu, sifa saba za viumbe hai. Kirusi kinazo baadhi, nyingine hakina kama vile kuzaliana, kula n.k
Hayo ni maelezo rahisi, ukitaka magumu kidogo tutaingia kwenye habari za nucleic material.
Ukitaka magumu zaidi hata mimi siwezi kuelezea
ok...twende taratbu utanielewa
umesema virus ni non living je virus wanatumia which means of reproduction ili kuongezeka?
kwa hyo kwa sababu sio wote wana UKIMWI ndo mana unaamini kirus anakufa?
Sayansi darasa la tatu, sifa saba za viumbe hai. Kirusi kinazo baadhi, nyingine hakina kama vile kuzaliana, kula n.k
Hayo ni maelezo rahisi, ukitaka magumu kidogo tutaingia kwenye habari za nucleic material.
Ukitaka magumu zaidi hata mimi siwezi kuelezea
duh sawa heb kila mtu abaki na analolijua maana mm n mviv sana kutype yaan nina maelezo marefu kichwan sasa kuyaweka hapa ndo kazi.
Ujue wewe mvumilivu sana?[emoji23][emoji23]Hapo nimetolea mfano wa kukwambia virusi vinakufa kikaa kwenye hewa tena ikiwa sio ya unyevu(hewa joto) na ndo maana si rahisi kupata ngoma jomba.
Mfano hospitali tunatumia prika kwa ajili ya kutobolea capillaries kwenye kidole ili tuchukue damu...ile prika ikikaa kwa dakika dakika na zaidi na damu ikikauka(yenyewe haifadhi damu) pale hata ukijichoma nayo huwezi kupata kirusi maana hakuna fresh blood hivyo kirusi hakina uwezo wa kusavaivu...
Hilo ngumi unataka umpige nani[emoji23][emoji23][emoji23]Ujue wewe mvumilivu sana?[emoji23][emoji23]
Mimi hapa nimeshakunja ngumi hapa mara kibao[emoji23][emoji23][emoji119][emoji119]
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Huyo alosema yeye siyo doctor ila amesoma tu shule[emoji23][emoji23][emoji23] kaniudhi vibaya mno laalekiiHilo ngumi unataka umpige nani[emoji23][emoji23][emoji23]