Salon ya kiume inauzwa

Salon ya kiume inauzwa

Kaina

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2015
Posts
380
Reaction score
326
Wakuu,

Salon ya standard ya kawaida iko complete na ipo sehemu nzuri. Imekuwa hapo kwa miaka mitatu hivyo ina wateja tayari. Mwenyewe ni wa mkoani, alikuwa anasoma chuo amemaliza anarudi mkoani.

Ipo Gongo la Mboto mwisho. Bei ni nzuri na negotiable.

Kwa makubaliano na kuiona tumia namba hizi +255 657 539 720 au PM.

Ahsanteni..
 
Picha!

Viti vingapi, ni hizi mpya za kusafishana kabisa au ni zile za kufuta kwa kitambaa then unatambaa.

Bei anayoanzia kabla ya kuja PM.
 
Ukishindwa kuuza ondoka na vitu vyako mimi niingie na vifaa vyangu , unasemaje
 
Namba yenyewe haipatikani,nahitaji ila vizuri simu ingekuwa inapatikana nimejaribu mara nyingi
 
Namba yenyewe haipatikani,nahitaji ila vizuri simu ingekuwa inapatikana nimejaribu mara nyingi

Nicheki mimi nikuuzie yangu, ipo mbezi mwisho njia kwenda goba, ina viti viwili, mashine moja, sterlizer, genereta, sink la kuoshea, waiting chair cha chuma, feni, tv, kingamuzi cha strtimes, taa mbili za kuzunguka.
Fremu imelipiwa hadi mwezi december trh 6.
Kodi 70,000/=
Ipo barabarani na barabara ndio inawekwa lami saivi.
Ipo krb na grocery flan.

Tatizo la hiyo salon ni management tu, mimi niko bize kwa safari sana, nikiweka vijana wanazingua sana, nataka kubadili biashara.

Mapato kwa mwezi yanaweza kuwa zaidi ya 240,000/=au zaidi management ikitulia.
Picha nitawapigia nikirudi.

Nicheki 0713322856
 
Mkuu weka bei kabla hatujakutafuta for negotiations
 
Back
Top Bottom