Salon Ya Bei Kali.

Salon Ya Bei Kali.

Mwendabure

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2011
Posts
2,138
Reaction score
1,045
Sharobaro pamoja na mpenzi wake waliamua kwenda ktk salon moja ili wapate huduma ya kunyolewa nywele zao za sehemu za siri. Kinyozi alipomaliza kuwahudumia akadai apatiwe sh. 13,500/= kama malipo. Sharobaro akaja juu akidai amebambikiwa bei kubwa na kutaka atajiwe gharama ya kunyoa kwa mtu mmoja. Kinyozi akamjibu kwa mwanaume ni sh. 5,000 na mwanamke ni 8,500. Sharobaro akaja juu kwa nini tofaut ya bei ni kubwa? Kinyozi akamjibu "mwenzio hana mshikio"
 
mi nadhani kumnyoa mwenye mshikio ndo taabu zaidi, teh teh teh
 
haha haaaaaaaaaaa nasty lakini inachekesha tehe teheeee
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom