Salome Makamba(Mbunge), ahoji ujenzi uwanja wa ndege Chato, barabara ya Bagamoyo na ununuzi wa ndege

Taa za barabarani Chato. Ama kweli watu wanajua kujipendelea
32fc97da1d0f05e09fa0e1288169614f.jpg
 
Mara ya kwanza nasikia mbunge akihoji ujenzie wa Chattle Inter village airport. Anahitaji pongezi. Itabidi nitembelee huko nikajionee traffic lights gari moja baada ya kila saa.
Wakati KIA inajengwa miaka 40 ilopita pale palikuwa porini kabisa lakini wenye akili walijua wanafanya nini, leo tunahoji chato Airport, miaka 20 ijayo wadogo zetu watatushangaa mbunge anawezaje kuhoji kitu cha maendeleo kisa tofauti za kichama
 
Back
Top Bottom