Salome Makamba(Mbunge), ahoji ujenzi uwanja wa ndege Chato, barabara ya Bagamoyo na ununuzi wa ndege

Allency

JF-Expert Member
Jan 27, 2011
7,490
2,000
Huwezi pata majibu kamwe ukiuliza maswali ya msingi. Angeuliza hivi kweli tunadhulumiwa kwenye makenekia dah majibu yake angeshangaa
 
Nzinza edward

JF-Expert Member
Sep 14, 2016
422
250
Mbona mnauliza kujengwa uwanjani chato kwani tatizo liko wapi na tunampango hats hizo hela tutakazolipwa za makanikila tunataka tuufanye mji Wa chato kuwa mkoa na kuwa mji pekee kanda ya ziwa kwenye hadhi kubwa na marais wote Wa nchi mbalimbali watue chato haya air force one itafika!
 
mangatara

JF-Expert Member
Jul 6, 2012
14,550
2,000
Hatukatai kwamba ni sehemu ya Tanzania, lakini je hiyo sehemu ina watumiaji (wasafiri na mizigo) wa kutosha watakaoweza kuufanya huo uwanja usionekane kituko?

Mkuu
Watu wataenda kushukia kule ili wakakione kijiji kilichotoa tingatinga na jirani tu na hapo msitu wa Gombe. Si wajua tena mambo ya sokwe na makinikia
 
KWEZISHO

JF-Expert Member
Jan 29, 2016
7,527
2,000
Mkuu
Watu wataenda kushukia kule ili wakakione kijiji kilichotoa tingatinga na jirani tu na hapo msitu wa Gombe. Si wajua tena mambo ya sokwe na makinikia
Nina wasiwasi tukimaliza Chato tutakwenda Ruangwa
 
The Monk

Platinum Member
Oct 12, 2012
15,619
2,000
Cha ajabu sasa, mkuu akisema leo hii kwamba ujenzi wa kiwanja cha ndege chato ni ubadhilifu wa pesa, kuanzia mjumbe hadi spika, wote wataunga mkono hoja na kujitokeza hadharani kusifia hiyo kauli na kuhitaji uungwaji mkono, ila leo kwa kuwa anaongea mbunge wa ipinzani, wote wanampinga na kumshangaa.
 
zitto junior

JF-Expert Member
Oct 7, 2013
13,348
2,000
Kama wanataka kupeleka mikataba yote Bungeni au kama kweli hataki watu fulani wasijadiliwe hadharani basi nafikiri ni bora waunde Reconciliation Commission kama RSA walivyofanya baada ya uhuru ili tuzungumze watu wamalize hasira zao na tuanze upya!!
Kweli kabusa mkuu hakuwezi kuwa na mwanzo mpya wakati bado watu wana machungu ya nyuma...... wazo zuri sana hili ila sijui kma litachukuliwa hili maana kuna watu hawataki kukosolewa au kuambiwa ukweli!!
 
zitto junior

JF-Expert Member
Oct 7, 2013
13,348
2,000
Mbona hili la uwanja lilishajibiwa kitambo!! Huyu dada aache wivu wa kijinga, hata Chato wanaishi binadamu nao wanahitaji uwanja.

Yeye mbona kapata ubunge viti maalum Shinyanga wakati ni wa Kaskazini? Au kisa chama cha mababy?

Hivi ubunge ni mahala unapoishi ama ulipozaliwa? Yaani kwa maana hiyo msukuma asigombee jimbo la dar na mkurya asigombee jimbo la uchaggani? Hivi mnawazaga nni great thinkers?

Chato ilijibiwa na mdomo sisi tunataka tuone mikataba na michakato ya manunuzi ya kila kitu mpaka bajeti maana ndio inavyotamka open Governance Initiative ambao Tanzania mlisign pia ssa siri siri za nni?

Haya niambie kivp uwanja ujengwe Chato kijijini wakati hata maji na elimu ni shida? Yaani Chato Airport sio kukarabati uwanja wa Mwanza au kujenga mkubwa zaidi DODOMA? Sasa nani aende Chato? Kama sio kuwa kipaumbele kibovu.
 
Chachu Ombara

JF-Expert Member
Dec 11, 2012
5,432

Tofauti na mkoa wa Dar, niambie ni mkoa gani mwingine wenye wabunge ambao si wazawa!
Hivi unajua makada wa chadema walilamika sana baada ya teuzi za viti maalum kwa baadhi ya mikoa kuwekwa mababy wa Kaskazini ambao hata hiyo mikoa hawaijui?
Najua umelishwa ujinga vitu kama hivi kwako ni sawa.
 
jebs2002

JF-Expert Member
Sep 3, 2008
7,488
2,000
Kweli lakini airport ya nini wakati kuna haya...
images (6).jpg
images (6).jpg
images (2).jpg
images (3).jpg
images (1).jpg
images (5).jpg
images (4).jpg
 
Mzalendo2015

JF-Expert Member
Aug 14, 2012
6,526
2,000
Nampa 5 Bi Salome Makamba(CHADEMA). Big up n' well done.
Angalizo: KUANZIA SASA NAOMBA HUYU DADA AWE MWANGALIFU SANA. NAJUA SIJONZE ATAKUWA AMESHAWASILIANA NA BASHITE KWA AJILI YA MAANDALIZI YA KUMTEKA MBUNGE HUYU!!!.
Hichi Kigaragosi cha GADO tells it all about Sijonze!!!
TUSUBIRI.
upload_2017-6-16_12-8-6.jpeg
 
zitto junior

JF-Expert Member
Oct 7, 2013
13,348
2,000
Tofauti na mkoa wa Dar, niambie ni mkoa gani mwingine wenye wabunge ambao si wazawa!
Hivi unajua makada wa chadema walilamika sana baada ya teuzi za viti maalum kwa baadhi ya mikoa kuwekwa mababy wa Kaskazini ambao hata hiyo mikoa hawaijui?
Najua umelishwa ujinga vitu kama hivi kwako ni sawa.
Hizo ni propaganda mkuu utaitaje mtubwa kaskazini wakati mtu kma lyimo anakaa dar na alipigiwa kura za viti maalum dar na akashinda sasa kivp anakuwa BABY wa kaskazini??? Je alishinda viti maalum kaskazini afu akateuliwa kuwakilisha mwanza???? Embu acheni propaganda wana ccm mara kumi ungesema hupendi watu wa eneo flani kugombea eneo jingine na kushinda ila usije na propaganda eti mababy wakati kura zilipigwa na mshindi akapatikana sasa kivp uteuzi umechukua wakskazini wakati huyo makamba aligombea huko huko shinyanga ana akachaguliwa na wanashinyanga ila akipewa nafasi eti NI MKASKAZINI?????? hivi hii ni sawa kweli??

Alipowekwa masha na wenje mlikandia bado udikteta akiwekwa mkaskazini kesi sasa tufanyeje??? Mnshangaza sana mnataka tuzuie watu wa makabila mengine kugombea majimbo mengine???
 
kamwamu

JF-Expert Member
May 18, 2014
3,288
2,000
Anaeweza kutoa mrejesho wa uwanja mkubwa wa ndege ukiojengwa Katavi enzi za waziri mkuu mh Pinda anijuze pls.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom