elmagnifico
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 8,260
- 9,747
Mbona hamkuwahi sema jide kaiba mhogo wa jang'ombe, siwema?diamond kazindua wimbo wake mpya ni ule wimbo wa saida karoli wa salome kaumix mix
mwanasheria wa saida anapanga kwenda mahakamani
itakuwa nafasi ya saida karoli kurudi kwenye mziki maana atalipwa mamilioni naona
tusubiri tuone
Domo anawatetemesha......!Hahaha
Saida sasa ahakikishe nayeye anarudi kupitia hapo hapo
*Wimbo mkali kishenzi
Ila domo anaweza jaman
Weka link tupakue
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Domo anawatetemesha......!
sio majungu mimi mwenyewe team diamond[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kumekucha MAJUNGU
mkuu sio mimi mwenyewe nimesikia tuMbona hamkuwahi sema jide kaiba mhogo wa jang'ombe, siwema?
Je ule wimbo wa mr paul?
And sidhani kama diamond anaweza urudia pasipo idhini ya mwenye hati miliki.
Na ule wimbo saida siyo mwenye hatimiliki, mwenye hati miliki ni aliyekuwa meneja wake saida alisainishwa mkataba wa kinyonyaji.
Saida karoli ashukuru amerudishwa kwenye chart....
Yeah maaana saida tulisha msahauKweli kabisa[emoji38][emoji38]. Ila atakua ashapewa hela yake, cdhan diamond kama kaiba. Atakua kafanya sampling, kashawasiliana na management ya Saida wamepewa hela yao.
Umetoa tuhuma umeendesha kesi na umetoa hukumu hapo hapo [emoji144] [emoji144]diamond kazindua wimbo wake mpya ni ule wimbo wa saida karoli wa salome kaumix mix
mwanasheria wa saida anapanga kwenda mahakamani
itakuwa nafasi ya saida karoli kurudi kwenye mziki maana atalipwa mamilioni naona
tusubiri tuone