Salma Kikwete na Anna Mkapa, nani bingwa wa kutumia NGO na ikulu?

Father of All

JF-Expert Member
Feb 26, 2012
6,376
6,720
Hakuna ubishi kuwa tangu Benjamin Mkapa alipoinga madarakani aliingia na mtindo wa mkewe kuwa na NGO ya ulaji EOTF. Hili lirithiwa na mke wa Jakaya Kikwete.

Kadri siku zinavyokwenda naona kama wawili hawa wanachuana. Wanangu nipeni maoni yenu juu ya nani amemshinda mwingine kuichafua na kuitumia ikulu kujineemesha. Mnaweza kuwashindanisha hata watoto wao ukiachia mbali waume zao na matendo ya kazi zao za kulibomoa taifa.
 
Mama Salma ni Mke wa Mtemi Mkubwa sana hapajawahi kutokea Tanzania
 
Kama taifa hatukuwahi weka utaratibu wa kusimamia NGO za hawa mama zetu. Matokeo wamekua wanafanya mambo kulingana na utashi binafsi na wapambe wao!
 
Nafikiri hawa mama zetu wawili kitu ambacho wametofautiana ni kua,mama Anna Mkapa is good upstairs kwa hiyo hata mambo ya ku run N.G.O ana uwezo nayo kiasi kama proposal write ups etc,ni rahisi kwake kuwa convince donors,wakati upande wa pili wa Mama Salma ana mapungufu katika ilo japo atakua anategemea watendaji kwa 99.5%
 
Nilicherewa kidogo kufungua luninga yangu ya chogo kwenye stesheni ya ITV, na nilipoifungua nilikuta kuna picha ya mama Ana Mkapa na maandishi kwa chini yake kuwa taasisi hiyo inahusika na siasa. Nilitaka nijue maelezo yake lakini ikawa ndo imeisha. Aliyeipata vizuri naomba maelezo yake kwa kirefu. NITASHUKURU SANA kwa msaada huo.
 
ilichohitaji ni ufafanuzi kuhusu kama WAMMA wanashiriki siasa kama nilivyoona lakini sikupata maelezo zaidi. sikutegemea kejeri, mimi si Warioba jamani mnisamehe.
 
Back
Top Bottom