Salma asikitishwa nakuangushwa Mwantumu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Salma asikitishwa nakuangushwa Mwantumu

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Mwanamayu, Sep 21, 2010.

 1. Mwanamayu

  Mwanamayu JF-Expert Member

  #1
  Sep 21, 2010
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 7,945
  Likes Received: 2,091
  Trophy Points: 280
  Katika gazeti la Mtanzania 21/09/2010 imeandikwa kwamba Mama Salma amesikitishwa na kuangushwa kwa Mwantumu Mahiza, Naibu Waziri wa elimu. Kwenye Majira 21/09/2010 Mama Salma anasema kuwa WAMA Foundation inapeleka watoto watano (5) yatima shule na kwenye vyuo mbalimbali kutoka katika kila mkoa. Hivi hizo fadha za kupeleka hawa watoto sio zilikuwa zinatoka wizara ya elimu kwa msukumo wa Mwantumu kweli kinyume na sheria? Unasikitika vipi kwa Mwantumu kutogombea kama hakuna maslahi binafsi? Si umwambie JK kama akishinda amteue mbunge?
   
 2. T

  Teko JF-Expert Member

  #2
  Sep 21, 2010
  Joined: Jul 3, 2010
  Messages: 216
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  kweli kama ameumia kwa kuangushwa Mwantumu,amwambie mumewe kama atashinda uraisi amteue mbunge!
   
 3. kaburunye

  kaburunye JF-Expert Member

  #3
  Sep 21, 2010
  Joined: May 12, 2010
  Messages: 675
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Ameshamwekea nafasi yake ya kuteuliwa kuwa mbunge na ampe uwaziri. Maana baraza la mawaziri linapangwa na JK, Ridhiwani na mama Salma kabla halijajadiliwa na washauri wa karibu wa raisi. Kama una bifu na Ridhiwani au mama Salma sahau kuwa kiongozi kipindi hiki. SI mmeona yaliyompata Masauni, Bashe etc
   
Loading...