maukijunior
JF-Expert Member
- Oct 22, 2017
- 232
- 371
Mkuu,, maisha Ni hatua bana,,, we ulitaka akar wcb Hadi afe,,
,,, anaenda kutafuta changamoto mpya,,, harafu WCB Ni wanyonyaji Sana wale wazee wakina babu fela wote wanata kula palepale,,,
Mi bado namuamini konde boy,,,
,,, anaenda kutafuta changamoto mpya,,, harafu WCB Ni wanyonyaji Sana wale wazee wakina babu fela wote wanata kula palepale,,, Mi bado namuamini konde boy,,,
