The mission 2017
JF-Expert Member
- Aug 14, 2017
- 6,450
- 14,809
Tusipangie Watu Maisha.
Kama wameamua Kua CCM, let them be, Ila wasianze kulia lia zikianza spana 😂
Kama wameamua Kua CCM, let them be, Ila wasianze kulia lia zikianza spana 😂
Duhhh, maneno makali sana mkuuAnakunya mavi magumu chooni
Hii ni chuki sasaNi kati ya Waandishi waliobebwa tu na BBC, ana uwezo mdogo sana
Pole sana kwa majukumu mkuu, najua unapambana kuokoa uhai wa binadamu ili aendelee kuishi mara ya pili 🙏🙏🙏Mimi ninacho fanya ni hiki
Quoted
""Kaka nina safari ya Tanga saa tisa
Izo zinahitajika hospitali kuna mtoto yupo ICU anahitaji ventilation tulikosa size sahihi ya kumsaidia
saa 2 usiku nikifike nazo Tanga mtoto asaidiwe""
Baada ya kuto pokea simu ZAKE kama Saba hapo nilikua naongea na simu nyingine kwa muda mrefu kidogo ndipo huo ujumbe ukaingia nika shuhurikia fasta fasta nikamsaidia akapata HUDUMA
Huo ndio utu na ubunge wa kweli na kuokoa uhai wa watu.
Huo ndio ubunge wangu Mimi.
Asante.
CNDD-FDD
Huyu jamaa anajiita Salum Kikeke.
Nafasi aliyokuwa nayo BBC
Uzoefu wa Kazi
Exposure n.k
Nilitegemea akirudi Tanzania awe Kama Diamond au Samatha au Kama Msuva .
Yaani aanzishe Project itakayomtofautisha yeye na waswahili .
Ila yupo anapambia siasa za Ccm zilizojaa utapeli ,wizi ,majungu na ffitina.
Ubunge raha. Wewe jiulize kimei na kuwa CEO wa bank kubwa CRDB bado alijikita kwenye ubunge.Huyu jamaa anajiita Salum Kikeke.
Nafasi aliyokuwa nayo BBC
Uzoefu wa Kazi
Exposure n.k
Nilitegemea akirudi Tanzania awe Kama Diamond au Samatha au Kama Msuva .
Yaani aanzishe Project itakayomtofautisha yeye na waswahili .
Ila yupo anapambia siasa za Ccm zilizojaa utapeli ,wizi ,majungu na ffitina.
😁😁Ubunge raha. Wewe jiulize kimei na kuwa CEO wa bank kubwa CRDB bado alijikita kwenye ubunge.
Inafikirisha Sana umo bungeni sijui kuna niniAsilimia kubwa ya wabongo awe amesoma awe hajasoma mawazo yao ya mwisho ni kuwa bungeni mpaka kifo kiwachukue. Wakati huo huo wa kwanza kusimanga wenzao wajiajiri
Ubunge wako ni Bora mara mia kiongozi....pambania kwaajili yako na jamii 🙏🙏🙏Mimi ninacho fanya ni hiki
Quoted
""Kaka nina safari ya Tanga saa tisa
Izo zinahitajika hospitali kuna mtoto yupo ICU anahitaji ventilation tulikosa size sahihi ya kumsaidia
saa 2 usiku nikifike nazo Tanga mtoto asaidiwe""
Baada ya kuto pokea simu ZAKE kama Saba hapo nilikua naongea na simu nyingine kwa muda mrefu kidogo ndipo huo ujumbe ukaingia nika shuhurikia fasta fasta nikamsaidia akapata HUDUMA
Huo ndio utu na ubunge wa kweli na kuokoa uhai wa watu.
Huo ndio ubunge wangu Mimi.
Asante.
CNDD-FDD
Mimi sio mtu wa kawaida Ila ntaishi ivyo...Ubunge wako ni Bora mara mia kiongozi....pambania kwaajili yako na jamii 🙏🙏🙏
skul iz not 4 ze wikiAmekaa London miaka kibao kashindwa hata kujiendeleza kielimu.
Ni kati ya Waandishi waliobebwa tu na BBC, ana uwezo mdogo sana
Huwezi kuwa na uwezo mkubwa halafu ukaungana na wauaji haiwezekaniDuh! Kikeke awe na uwezo mdogo!!Wivu ukizidii unaleta wehuu
Aibu kubwa sana!Amekaa London miaka kibao kashindwa hata kujiendeleza kielimu.