Salim Kikeke Vs Shaka Ssali

Kumbukeni Shaka alikuwa mwanejeshi, hvyo ni mtu anayejua migogoro inaanzishwaje, Kikeke anasoma habari vizuri tu na c vinginevyo, hajafikia kwenye uchambuzi
 
Shaka Ssali anaitwa Veteran Journalist.....Hiyo Straight Talk Africa ipo kwa 10 years!! ameshaongea na viongozi wengi wenye nyadhifa za juu Afrika, Salim Kikeke ana promising future ila kwa sasa hauwezi kumlinganisha na Shaka Ssali.......Remember get better not bitter.

"The only reason one will respect you as a journalist is because of your integrity. Your integrity is based on your credibility. Your credibility comes from your truthfulness. All these come from you submitting yourself as a servant of the truth, a servant of issues" Dr Shaka Ssali.
 
Ha ha haa iyo ya Gabriel zakaria umenichekesha,Generali ulimwengu nae siku hizi naona kiwango kimeshuka sana

Gabriel zakaria ananifurahsha.. pale anapo chezesha macho... huku anajigeuza geuza kwenye kiti
 
Dr.Shaka Ssali yupo juu zaidi, ni jana tu nimetoka kumtazama.
Sema Shaka anatazamwa zaidi na watu ambao hawakukimbia umande na vipindi vyake ni pasua kichwa (kama hapa JF, ningesema JAMII INTELIGENCE) wakati Kikeke anatazamwa na kila mtu (sawa na MMU kwa hapa JF)

Kweli wewe ni bepari M,

Mifano yako ni vunja mbavu mazee
 
Dr.Shaka Ssali yupo juu zaidi, ni jana tu nimetoka kumtazama.
Sema Shaka anatazamwa zaidi na watu ambao hawakukimbia umande na vipindi vyake ni pasua kichwa (kama hapa JF, ningesema JAMII INTELIGENCE) wakati Kikeke anatazamwa na kila mtu (sawa na MMU kwa hapa JF)

watake radhi wana MMU
 
Salim Kikeke anatangaza BBC (Dira ya dunia usiku) ni kipindi kinachojizolea mashabiki wengi sana wakati Shaka Ssali anatangaza VOA ( straight talk africa) kipindi ni kikongwe kidogo.Sasa naomba tupime ubora wao katika uwasilishaji na uchambuzi katika vipindi vyao,tusi base kwenye lugha mana kipindi kimoja kinaendeshwa kwa lugha ya kigeni wakati kipindi kingine ni cha kiswahili.Naomba kuwasilisha

Nadhani umekosea sana kuwapima hawa watu kwa sababu wako tofauti kabisa Shaka Ssali anaendesha kipindi chake cha Straight Talk Africa (VOA) wakati Salim Kikeke ni mtangazaji wa BBC huoni hapo unamuonea Salim Kikeke?


Sent from my iPhone using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom