Seriously?Salama Wakuu?
Watu walitabiri na kutabiri mara Kikeke anaenda TBC, mara anaenda Wasafi, mara atalamba teuzi za Rais Samia akaungane na Zuhura, sasa kutabiri kumeisha, Kikeke huyooo kwa CROWN. Mjadala sasa umeisha.
Jamaa walimdanganya atapewa TBC Ayoub akakomaa hatoki mtu hapa.Salama Wakuu?
Watu walitabiri na kutabiri mara Kikeke anaenda TBC, mara anaenda Wasafi, mara atalamba teuzi za Rais Samia akaungane na Zuhura, sasa kutabiri kumeisha, Kikeke huyooo kwa CROWN. Mjadala sasa umeisha.
Jamaa walimdanganya atapewa TBC Ayoub akakomaa hatoki mtu hapa.Seriously?
Labda kutoka kwake BBC ilikuwa aje apumzike nyumbani Tanzania otherwise sikuona sababu yake kuacha kazi BBC kisha aje aajiriwe na Alikiba Bongo π
Kuna baadhi ya level ukifika hutakiwi kurudi nyuma unless hiyo sababu ya pili kwamba alitaka kurudi kukaa nyumbani rather than kule UghaibuniJamaa walimdanganya atapewa TBC Ayoub akakomaa hatoki mtu hapa.
Ndio Mkuu, angali video hiyo hapo nimewekaSeriously?
Labda kutoka kwake BBC ilikuwa aje apumzike nyumbani Tanzania otherwise sikuona sababu yake kuacha kazi BBC kisha aje aajiriwe na Alikiba Bongo π
Video ilikuwa njiani Mkuu, imefika tayariOngeza nyama mkuu, usifikiri wote tunamjua uyo kikeke na uyo crown
Hivi kwa kufikiri hata kidogo tu...mtu unaweza kuacha kazi BBC?!Seriously?
Labda kutoka kwake BBC ilikuwa aje apumzike nyumbani Tanzania otherwise sikuona sababu yake kuacha kazi BBC kisha aje aajiriwe na Alikiba Bongo π
Anaweza kuwa Ana HisaSeriously?
Labda kutoka kwake BBC ilikuwa aje apumzike nyumbani Tanzania otherwise sikuona sababu yake kuacha kazi BBC kisha aje aajiriwe na Alikiba Bongo π
Nami nahisi ilikuwa hivyo japo Kuna Siasa hapa kati zinasema aliandaliwq kuwa mrithi wa Charles Hilal pale Azam ama kuwa mrithi wa Ayoub Ryoba pale TBCHivi kwa kufikiri hata kidogo tu...mtu unaweza kuacha kazi BBC?!
Hapa kulikuwa na kuachishwa kazi ama kustaafu kwa mujibu wa sheria... hayo mawili hapo juu mojawapo lilimkuta salym...
Kuachishwa kazi kwa mtu mwenye hadhi kama yeye... siku zote huitwa MUTUAL AGREEMENT
Ila Kuachishwa kwetu kazi sisi hohehahe kunaitwa TERMINATION!
Probably lakini Kwa hadhi yake sikuona sababu ya yeye kuja kufanya kazi Tena kwenye media zinazochipukia kama hizoAnaweza kuwa Ana Hisa
Wacha niipitieNdio Mkuu, angali video hiyo hapo nimeweka
Yap, ukiangalia bio yake Twitter kaweka wazi kabisa ni co founder wa CrownLabda ni yake!
Probably lakini Kwa hadhi yake sikuona sababu ya yeye kuja kufanya kazi Tena kwenye media zinazochipukia kama hizo
Yeah ni kweliWatu hutazama mbali yeye kaona mbali kuliko hata sisi