Rockefeller
JF-Expert Member
- Nov 21, 2016
- 1,235
- 2,360
Salim Kikeke kumbe alianzia ITV!!
Salim Kikeke kumbe alianzia ITV!! View attachment 1153846
Alitaka asianzie mbali!Wewe ulitaka aanzie wapi?
ItakuaKwahiyo hapo ITV (Dar) ni mbali kuliko BBC (London).
😂😂😂😂😂Kwahiyo hapo ITV (Dar) ni mbali kuliko BBC (London).
Tutafika pale mwana wa adamu atakapo rejea tenaSijui watafika lini aisee?
aarrrggghhh ngoja nikalale
Kigoma NewsWewe ulitaka aanzie wapi?
HahahahaKwahiyo hapo ITV (Dar) ni mbali kuliko BBC (London).
Nimenunua Philips chongo mwezi wa piliNdo maana yake.mbona ni miaka ya juzi juzi tu au wewe umechelewa kuangalia TV.
Zuhra Yunus alianzia redio maria.Salim Kikeke kumbe alianzia ITV!! View attachment 1153846
Teh teh teh we jamaa unazinguaZuhra Yunus alianzia redio maria.
Mtoto mdogo huyo. [emoji16]Ndo maana yake.mbona ni miaka ya juzi juzi tu au wewe umechelewa kuangalia TV.
Salim Kikeke kumbe alianzia ITV!! View attachment 1153846