Salim Kikeke aaga rasmi BBC

Ndio lilikuwa fumbo la september 11 nadhani maana nasikia atakaribishwa kesho efm.
 
Inasikitisha sana baada ya Kikeke kuondoka BBC kaenda EFM. Hili ni jambo la ajabu sana. Ni jambo gani lilimkumba BBC hasa akaamua kukimbia jamani? Nadhani baada ya wakenya kushika hatamu za uongozi walianza kumnyanyapaa ndipo akaamua kutimka kwa hasira. Hakujua kuwa hasira za mkisi ni furaha ya mvuvi. Inauma sana. Tazama sasa ameruka mkojo amekanyaga mavi😨😨😨
 
Ameahidiwa kuwa mkurugenzi wa tbc
 
Huyu Kikeke amefanya kazi BBC kwa zaidi ya miaka 10, inakaribia 20 akiwa na mkongwe mwingine Mariam Omar ambaye naye kaondoka!
Suluma kassim kafanyakazi bbc miaka 44, Ali Saleh kafanya miaka karibu 50, Tido Mhando miaka 30, Aisha Yahya miaka 40
 
Hivi Kikeke anajua kuwa "siasa ni mchezo mchafu?" Anajua kuucheza? Huo uchafu unaondolewa na sabuni maalum, anazijua?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…