kuzunguka kama muuza gazeti anayetembeza au muuza mihogo.....,kila shule au halmashauri na kwenda kunadi sera zako za kampuni yako ili uwashawishi wafanyakazi wakope....., na utatumia gharama zako za usafiri......ukirudi hauna wateja, meneja wako anakuwakia kinoma,....Ethos kaz yao kubwa ni nini kutafuta wateja au?
Kama Matyoka alivoeleza...Ethos kaz yao kubwa ni nini kutafuta wateja au?
Yupo Brac ya Arusha?Wakoje mkuu Tang'ana? Hawalipi?warushi? Malipo kidogo? Yaan nataka mnieleze kiundan maana kuna Mdogo wangu ametuma maombi ili nimwambie aendelee hapo hapo Brac alipo coz alitaka ahamie huku
Huwa wanalipa vizuri? Nime apply Ile post ya Zanzibar nawasubiria...Ethos ni Brac ya MWANZA my dia
Tutapambana tu.. ThanksKawaida mno take home 45000 kwa wanaoanza