Asante kwa kutukumbusha historia. Wengi wetu tulikuwa hatujuiView attachment 1058207
Daraja la Salender lilijengwa mwaka 1929 kuungunisha mji wa Dar-Es-Salaam na Oyster Bay iliyo Kaskazini ya Dar. Wakati huo iliwekwa kuwa eneo la makazi wa viongozi wa serikali.
Jina la Salender limetoka kwa John Einar Salender aliyekuwa Mkurugenzi wa Jamii na Kazi katika serikali ya Tanganyika.
Yapo madaraja mengi tuu TZView attachment 1058207
Daraja la Salender lilijengwa mwaka 1929 kuungunisha mji wa Dar-Es-Salaam na Oyster Bay iliyo Kaskazini ya Dar. Wakati huo iliwekwa kuwa eneo la makazi wa viongozi wa serikali.
Jina la Salender limetoka kwa John Einar Salender aliyekuwa Mkurugenzi wa Jamii na Kazi katika serikali ya Tanganyika.
kuna mlango Wa kuzimu hapo ndio maana linaleta utofautiYapo madaraja mengi tuu TZ
Kipi ambacho kinalifanya hilo daraja kuwa la pekee au la kukumbukwa
Toa maelezo ndugu..kuna mlango Wa kuzimu hapo ndio maana linaleta utofauti
ni kwasababu hupajui dar Pole Sana the great elite ya bongo 90 iko hapoYapo madaraja mengi tuu TZ
Kipi ambacho kinalifanya hilo daraja kuwa la pekee au la kukumbukwa
ni kwasababu hupajui dar Pole Sana the great elite ya bongo 90 iko hapoYapo madaraja mengi tuu TZ
Kipi ambacho kinalifanya hilo daraja kuwa la pekee au la kukumbukwa
Dah upande wa Kushoto Kama unaenda knyama kuna msitu wa mamiti kumbe zamani palikuwa peupeeeeeeee jamani hebu ondoeni ule msitu kwani una faida gani za kiekolojiaView attachment 1058207
Daraja la Salender lilijengwa mwaka 1929 kuungunisha mji wa Dar-Es-Salaam na Oyster Bay iliyo Kaskazini ya Dar. Wakati huo iliwekwa kuwa eneo la makazi wa viongozi wa serikali.
Jina la Salender limetoka kwa John Einar Salender aliyekuwa Mkurugenzi wa Jamii na Kazi katika serikali ya Tanganyika.
Boya tu wewe..ni kwasababu hupajui dar Pole Sana the great elite ya bongo 90 iko hapo
Uoto Wa asili Ni mikpko. Ni muhomu Sana kwa ekolijia na mazingiraDah upande wa Kushoto Kama unaenda knyama kuna msitu wa mamiti kumbe zamani palikuwa peupeeeeeeee jamani hebu ondoeni ule msitu kwani una faida gani za kiekolojia