Salary ya credit clerk postal bank

Vikao vya Harusi

JF-Expert Member
Sep 19, 2012
512
140
msaada tutani waungwana, nahitaji kufanya maamuzi ya kuingia postal bank, naomba kwa anajua mashahara wa credit clerk(bachelor holder). Hilo tu waungwana.
 
ha ha ha hayo majibu ujiandae...

naanza na mimi hapa..

huoni kama ni umburura wa hali ya juu kufanya sehem interview bila kuulizia mshahara ukoje?

kwenye hiyo interview mlikuwa mna discuss nini??
 
haaaa haaa..
wanakudanganya hawa ppo, usikate maini
komaa kijana...!!!
kwan ukienda ndo utakua umeajiriwa jumla???
 
Back
Top Bottom