M magesa77 Senior Member May 22, 2011 123 15 Dec 6, 2011 #1 Wanajamii naomba mnisaidie kujua hiyo scale ni kama shilingi ngapi pesa ya kitanzania? asanteni!
ndyoko JF-Expert Member Nov 2, 2010 4,971 1,649 Dec 6, 2011 #2 angalia vizuri kama ni PGS au PGTS kamanda
Ruge Opinion JF-Expert Member Mar 22, 2006 1,838 701 Dec 7, 2011 #3 ndyoko said: angalia vizuri kama ni PGS au PGTS kamanda Click to expand... Inaweza kuwa PGSS. Hii ni mishahara ya mashirika ya kiserikali/umma.
ndyoko said: angalia vizuri kama ni PGS au PGTS kamanda Click to expand... Inaweza kuwa PGSS. Hii ni mishahara ya mashirika ya kiserikali/umma.
M mnazaleti Member Aug 5, 2011 60 17 Dec 9, 2011 #5 Vipi kuhusu PMGSS 13-14 ni kama shilingi za kitanzania ngapi?