Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 26,663
- 50,968
Mbona bado mkuu maana mimi pia nipo kwenye shirika la ummamoja ya mashirika ya umma
Mbona bado mkuu maana mimi pia nipo kwenye shirika la ummamoja ya mashirika ya umma
Cheki salary advance alert kama wameshakata chao ndiyo utajua ngoma imeshawekwa
Madeni ni mengi kuliko tunachopokea
Wifi yako kamiliki kadi ya ATM kabisa
Habali
Kwa wale watumishi watiifu mshahara wenu umetoka mzee baba kawawaishia tarehe 5jan 2020 mtakuwa mmechoka hatarii.Muwe waangalifu happy holiday.
Ndio hivyo anipunguzie makadi kwenye pochi yangu maana yanazeesha pochi sana
Unatumikia wap