Salary increment: Mwisho wa mwezi ndio huo,kuna jipya mwezi huu kwa watumishi?

Subiri Zoezi la kuhakiki Ujazaji wa Form za Opras likamilike ndio uanze kufikiria hizo Increament

Upandaji wa Mshahara utategemea Uchapakazi wako ambao utaonekana kwny form hizo za Oprass sio Kama zamani
Wewe kweli unastahili kuishi nchi ya Danganyika na si Tanganyika.
Hivi unajua OPRAS form zinatakiwa zijazwe kabla ya tar ngapi?
Mimi niliijaza tangu July cha ajabu kuna ofisi za serikalu napita naona mpaka leo watmishi wengine wanahangaika na fomu hizi. Jenga picha lini watamaliza kujaza na utumishi zitafika lini?
Magu hana nia ya kuongeza mshahara mwaka huu wote.
 
Subirini nakusanya pesa za kampeni.
Subirini kuanzia 2019 mapena naanza kampeni. Lazima mufurahi, kwani shawasoma raia na watumishi wangu.
Mwafwaaaa
 
Watumishi wa umma hivi 2020 mtamrudisha madarakani kiongozi ambaye tangu ukoloni kadhalilisha wafanyakazi kuliko yeyote yule?

Myamrudisha madarakani mtu ambaye anawafukuza kazi
hovyo kama mbwa?

Mtamrudisha madarakani mtu ambaye haheshimu sheria za kazi?

Mtamrudiaha madarakani mtu ambaye anawafukuza kazi majukwaani?

Mtamrudisha madarakani mtu
ambaye anawashusha hadhi mbele ya wananchi?

Hahaha daah we jamaa wewe Qo2 bana
 
Mishahara ya mwezi wa Augut 2017 ililipwa baada ya Banki ya CRDB kuilipa serikali gawio la shilingi bilioni kumi na tisa; ndiyo sababu mishahara mwezi uliopita ilichelewa kutoka hadi CRDB walipolipa hizo pesa. Pesa hizo hazikuwa za serikali bali ni pesa zilizotolewa na nchi ya Denmark miaka ya nyuma kunusuru benki hiyo na kuiunda upya na kuifanya kuwa na nguvu kubwa kimtaji, sijui mwisho wa mwezi huu kama pesa hiyo bado ipo.
 
Wale watumishi wa umma mwezi huu watarajie kupata nyongeza ya mwaka pamoja na malimbikizo yao au ndio watasubiri sana?

Bado kama siku 4 tutapata majibu kutoka kwa watumishi wacha tusubiri.
na ile miezi mitatu ya kumalizia uhakiki wa watumishi hewa
 
Unaulizia Circular?

Kwani zuio la Increament lilikuja na Circular?

Acha Mzee anyooshe Nchi kwanza Nyie Mkipewa pewa Hizo Posho mnaanza kejeli kwa Rais Kama mlivyokuwa mnafanya kwa Jakaya
kuinyoosha nchi kwa kuingiza nchi madeni makubwa ya ndani?
 
Wewe kweli unastahili kuishi nchi ya Danganyika na si Tanganyika.
Hivi unajua OPRAS form zinatakiwa zijazwe kabla ya tar ngapi?
Mimi niliijaza tangu July cha ajabu kuna ofisi za serikalu napita naona mpaka leo watmishi wengine wanahangaika na fomu hizi. Jenga picha lini watamaliza kujaza na utumishi zitafika lini?
Magu hana nia ya kuongeza mshahara mwaka huu wote.

Unanishangaa halafu unakiri ni Shuhuda wa kile nilichosema!
No OPRAS na Cheo no Increament
Hii danadana ni mpaka 2020 Mpira na Mguu ukichoka wa kushoto unahamia wa kulia
 
Unanishangaa halafu unakiri ni Shuhuda wa kile nilichosema!
No OPRAS na Cheo no Increament
Hii danadana ni mpaka 2020 Mpira na Mguu ukichoka wa kushoto unahamia wa kulia
Nilikuwa sijakuelewa kuwa ulimaanisha haya yote ni danadana.
Nilidhani unaamini kikwazo kiko kwa watumishi na si serikali.
Huyu mjamaa anajifanya mjanja sana, leo karudia kauli zake za ajabu ajabu kwa watumishi
Uhakiki mwingine waja
 
Back
Top Bottom