Salamu

Salamu

LordRex

Member
Joined
Jan 29, 2012
Posts
20
Reaction score
0
halo wana JF hivi salamu yetu tanzania ya "shikamoo" ina maanisha nini. Mana mfano kiingereza kuna "good morning" ambayo ni wishes. Naomba clarification.
 
Mh! mi naona ni km neno halina maana inayoeleweka au tuulize basata.
 
salamu sana
ama baada ya salamu mimi muzima hofu na masha ni kwako wewe usiyeelewa shikamo ni nini.
 
Hata ukilibadilisha bado halitaacha kitumika
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom