Salamu

massoyevod

New Member
Oct 4, 2011
3
0
SALAMU KWA WOTE WANA JAMIIFORUM.
Nafurahi sana kuwepo kwenye mtandao huu wa kuweza kupeana habari za kuelimisha,kuhurahisha na za kimaendeleo kwa wanajamii wote hususani watanzania wote.Naomba mnipokee kwani nami napenda sana mawasiliano yenye kuleta mwamko katika kukabiliana na changamoto za kimaisha.Aksanteni
 
Karibu sana, mimi naitwa husninyo. Ukiwa na shida yoyote muone sekretari wangu katavi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…