Salamu za Uhuru: Rais Magufuli asamehe wafungwa 4,477. Aagiza pesa za sherehe ya Uhuru zijenge hospitali Dodoma. Awataka watanzania wachape kazi

4.JPG
 
kwani serikali inashindwa kutenga bajeti ya kujenga hospitali,hadi ichukue fedha zilizotengwa kwa ajili ya madhimisho au maadhimisho ya uhuru hayana maana?-na kuna watu wanasifia juu ya hili.kiki zingine hazina maana kwa watu werevu.
au ndio tuseme walioanzisha hiyo siku walikuwa hawajuhi umuhimu wake?.
Kwa akili hii,CCM ITAWALE MILELE. Maadhimisho ya uhuru yapo kama kawaida ila zile mbwembwe za wajeda kupasua matofari mara midege kupita huko juu hamna. Hizo hela zingetumika hata kufanyia kitu chochote nje ya hospital lkn ndio hivo wameona wajenge hospital.
 
kwani serikali inashindwa kutenga bajeti ya kujenga hospitali,hadi ichukue fedha zilizotengwa kwa ajili ya madhimisho au maadhimisho ya uhuru hayana maana?-na kuna watu wanasifia juu ya hili.kiki zingine hazina maana kwa watu werevu.
au ndio tuseme walioanzisha hiyo siku walikuwa hawajuhi umuhimu wake?.
Mnakula bata siku ya uhuru huku nchi ikiwa ina upungufu wa hospitali?
 
Freedom of Speech !!!

Come on Brother!!! you knock at the right place on the right time ... !!! Worry not just come in and speak your mind ...

Write anything your mind ask your fingers to hit the keys on the board ...

Twende KAZI NA BATA!!!
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli atatoa salamu za kumbukumbu ya miaka 57 ya Uhuru kuanzia saa 9:00 Alasiri leo Desemba 07, 2018. Fuatilia matangazo kupitia Televisheni,Radio na mitandao ya kijamii.

Source:Msemaji wa Serikali

---
"Nimeagiza fedha zilizokuwa zitumike kwa ajili ya uhuru, zitumike kujenga hospitali kubwa mjini Dodoma itakayoitwa Uhuru hospital" - Rais Magufuli

"Ninatoa msamaha kwa Wafungwa 4477 kwenye kumbukumbu za maadhimisho haya ya miaka 57 ya Uhuru" - Rais Magufuli

"Nawatakia Watanzania wote tusherehekee miaka 57 ya Uhuru kwa amani na furaha tele. Tuendelee kuchapa kazi, tuendelee kulijenga Taifa letu" - Rais Magufuli
Jiwe is a populist!Lissu alisema hii!

Alisema jiwe ni "hybrid" ya Lyatonga Mrema na Moringe Sokoine.

Lissu alipatia sana, "especially" kwenye hiyo ya "populism" au kutaka tu misifa. Pia ya kutokufuata sheria(Sokoine) alipatia vyema.
 
Ulitaka Salamu za Uhuru zitolewe na Mbowe?
 
Back
Top Bottom