JamiiForums
JF Official Account
- Nov 9, 2006
- 6,240
- 5,658
Kufuatia zuio lililotolewa Septemba 6, 2025 na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) ikisitisha leseni ya utoaji maudhui nchini humo kupitia Jukwaa la JamiiForums kwa siku 90, member wa JF, Mshana Jr alianzisha uzi (https://www.jamiiforums.com/threads/tusimame-na-jf-yetu-kipindi-hiki-kigumu.2387883/) kuhamasisha wanachama na wapenzi wa JF kuungana nasi katika kipindi hiki.
Mpaka kufikia leo Septemba 27, 2025 tumepokea kiasi cha Tsh. 233,603.00/-
Tunatoa shukrani zetu za dhati kwa kila aliyejitoa kuungana nasi kwa salamu za pole, kuchangia na hata kuwa nasi kwa njia ya maombi wakati huu JamiiForums imezuiwa kutoa huduma zake nchini Tanzania.
Tunathamini sana umoja na mshikamano mliotuonyesha na mnaoendelea kutuonyesha🙏.