Salamu za Rambirambi za kifo cha Benjamin Mkapa toka kwa Rais Paul Kagame na Rais Yoweri Museveni zimenigusa sana

Yuko sahihi sana tena sana. Tulipoteza muda mwingi, Mali damu za watu wetu wazalendo kupigania uhuru wa majirani zetu wakati huo. Tukaishia kuwa mafukara. Kwa hiyo JPM anayo hekima/maarifa yatokayo kwa Mungu kuwa sasa ni wakati wakupigania masilahi ya nchi yetu na watu wake.
Kwa kipengele hicho hata mimi, anti-jiwe muandamizi, kidoogo naguswaguswa japo bado Kuna WALAKIN!
🤔😅🤔😅
 
Yuko sahihi sana tena sana. Tulipoteza muda mwingi, Mali damu za watu wetu wazalendo kupigania uhuru wa majirani zetu wakati huo. Tukaishia kuwa mafukara. Kwa hiyo JPM anayo hekima/maarifa yatokayo kwa Mungu kuwa sasa ni wakati wakupigania masilahi ya nchi yetu na watu wake.
Kiingereza na ushamba ndio tatizo hapa sio kitu kingine.
 
Kumuelewa Rais Kagame kunakutaka Kwanza na Wewe uwe na IQ Kubwa. Halafu wengi wenu mnaohoji hili nazidi ' Kuwapuuza ' na hata ' Kuwadharau ' kwani ni jambo la kawaida sana na la Kibinadamu. Rais Kagame hajasema kuwa hakuamini taarifa aliyoisikia kutoka kwa Rais Mwenzake Magufuli au aliyohakikishiwa na Balozi wake hapa Tanzania bali kutokana na ' Mshtuko ' wake mkubwa juu ya Taarifa hiyo ' Kibinadamu ' alipenda pia ' Kujidhirisha ' zaidi kwa hao Marafiki zake ambao huenda hata Rais JPM nae ni Mmoja wapo ili amsimulie zaidi lakini bado tu nyie ' Mijitu ' mnashindwa kuelewa ' Context ' na ' Concern ' nzima ya Rais Paul Kagame. Huko Shuleni na Vyuo Vikuu mlienda Kusomea ' Upopoma ' wenu huu au? Mnaboa!
Naona unampigia chapuo "life president" Mr war monger

Kama jamaa angestaafu saivi Rwanda ingekuwa na wastaafu Kama hii nchi unayoishi na kujidai hapa

Nasikia atagombea Tena 2024 sijui huko until Ivan afikishe 40 years ampe kijiti

Kagame dynasty

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiingereza na ushamba ndio tatizo hapa sio kitu kingine.

JPM huyu ni Rais wa mpango wa Mungu, wenye maono tulilijua hili tangu hapo awali. Washamba ni wale wanaofikiria sifa ya nchi nikuwaleta Marais wa USA watatu kwa mkupuo wakiwa kwenye ndege moja. Watanzania tunapaswa kumshukuru sana Mungu kwa upendo wake wa kutuletea JPM.

Ilifika wakati eti gari la kubeba rais wa USA ni sera ya kujadiliwa hapa nchini. Huo ndio ushamba haswa, tena ubobezi, hapo ndipo tuliopokuwa tumefikishwa kama Taifa. Ikanzishwa sera ya kumleta Punit wa Urusi ashukuriwe Mungu ilikufa kifo cha mende, maana tungepigwa! Nyani haoni makalio yake, eti leo wana thubutu kumuita huyu visionary leader tuliejaliwa na Mola muamba wetu, mshamba haaa!. Shame on them.
 
POINT
 
Rais Yoweri Museveni (Uganda)

" Niliondokewa na Baba yangu Mzee Mwalimu Nyerere nikalia sana na sasa nimeondokewa na Kaka yangu Mkapa nalia mno. Maelekezo mengi ambayo Mwalimu Nyerere alikuwa akinipa katika Mapambano ya Kuikomboa Uganda alikuwa akimtuma Mkapa aniletee hivyo nimemjua Siku nyingi na nimefanya nae Kazi Kubwa nimesikitika Kaka yangu wa Ukombozi ameniacha ghafla hivi "

Rais Paul Kagame ( Rwanda )

" Kwa aliyonifanyia hasa nilipokuwa Tanzania na kwa Upendo mkubwa aliokuwa nao dhidi yangu na Wanyarwanda nilipopata taarifa sikuamini haraka kama Mwanadamu kutokana na Mshtuko hivyo ikanibidi niwapigie Simu Watanzania Marafiki zangu waliofanya nae Kazi Kuthibitisha wakasema ni kweli Kaka Mkapa ameniacha. Nimeumia zaidi kwakuwa Kaka Mkapa alitoa Mchango wake uliozidi mpaka Kwangu na kwa Rwanda "

Huu ni ' Uthibitisho ' tosha kuwa hakuna Rais wa Tanzania asiye na ' Mchango ' wa ' Kimaendeleo ' kwa Mataifa jirani na Watanzania tunakubalika.
Tza ndio chuo za madikteta afrika either wamepita,kuishi au kuwahi kukaa tza.
 
Back
Top Bottom