Salamu za Eid Kutoka kwa Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba

Habari za Zanzibar

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2024
Posts
261
Reaction score
199
EID MUBARAK

Naungana na Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kuwatakia Waislamu na Watanzania wote Sikukuu njema ya Eid el-Fitri.

Tuyaishi na kuyaendeleza mema yote tuliyojifunza katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani: upendo, huruma na kusaidiana, ili kuimarisha maadili na mshikamano katika jamii zetu.

Tusherehekee kwa utulivu, tukidumisha umoja na kulinda amani ya nchi yetu, kwa kuwa amani ndio msingi wa ustawi na maendeleo ya Taifa letu.

Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba.
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
 
Attachments

  • IMG-20260321-WA0006.jpg
    IMG-20260321-WA0006.jpg
    411.3 KB · Views: 2
Hivi kwani huwa ni lazima kuungana na mheshimwa rais kuwatakia watu heri au kuwapa pole? Hawezi tu yeye mwenyewe kuwatakia heri?!
 
EID MUBARAK

Naungana na Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kuwatakia Waislamu na Watanzania wote Sikukuu njema ya Eid el-Fitri.

Tuyaishi na kuyaendeleza mema yote tuliyojifunza katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani: upendo, huruma na kusaidiana, ili kuimarisha maadili na mshikamano katika jamii zetu.

Tusherehekee kwa utulivu, tukidumisha umoja na kulinda amani ya nchi yetu, kwa kuwa amani ndio msingi wa ustawi na maendeleo ya Taifa letu.

Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba.
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Taqabbalallahu minna wa minkum, PM
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom