Salamu tu, Imekuwa too much

Salamu tu, Imekuwa too much

Yusomwasha

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2014
Posts
2,092
Reaction score
844
Kuna mkoa fulani hivi nilikuwa majuzi wenyeji wana tabia ya kushangaa na ushamba. Halafu wanapenda kumuuliza mtu mgeni maswali yasio na maana. Kumsalimu ishakua tabu ndo unampa chance ya kuuliza maswali yasio na msingi.

Sasa ukiwakaushia tu usipowasalimia kuepuka maswali wanaanza kusema unajiona na kujskia. Mtu anapoteza muda kuhoji maswali muda ambao angekuwa bize na kazi

Hii tabia inanikera sana..
 
hii tabia nimekutana nayo pia.anakuuliza jina lako,baba yako,mama yako,babu yako,mume/mke wako,ulipozaliwa n.k.sasa mi najiuliza yote hayo for what purpose??
 
Ukiwa mgeni kijinini kwa watu lazima uulizwe maswali na lazima wakujue vizuri. Hii inasaidia sana kwa matendo hatarishi kama kuka viungo vya Albino na kuchuna watu ngozi, so big up sana wanakijiji endelezini huo utaratibu wenu wa kujilinda na strange people.
 
Mmmmnnhhhhh
 

Attachments

  • 1433764293167.jpg
    1433764293167.jpg
    17.6 KB · Views: 103

Similar Discussions

Back
Top Bottom