WANGU MTENZI Member Joined Jun 25, 2012 Posts 19 Reaction score 6 Jul 6, 2012 #1 Haya wana Jamii F.Mwaambaje?Mie mgeni hapa ila nimepungwa sana na wana Jamii F. MASWALI YANGU HAYA MNISAIDIE 1.University kwa Kiswahili ni nini? 2.sealing ile ya nyumba yatwaje Kiswahili?
Haya wana Jamii F.Mwaambaje?Mie mgeni hapa ila nimepungwa sana na wana Jamii F. MASWALI YANGU HAYA MNISAIDIE 1.University kwa Kiswahili ni nini? 2.sealing ile ya nyumba yatwaje Kiswahili?
Dotworld JF-Expert Member Joined Aug 10, 2011 Posts 4,035 Reaction score 3,783 Jul 6, 2012 #2 WANGU MTENZI said: Haya wana Jamii F.Mwaambaje?Mie mgeni hapa ila nimepungwa sana na wana Jamii F. MASWALI YANGU HAYA MNISAIDIE 1.University kwa Kiswahili ni nini? 2.sealing ile ya nyumba yatwaje Kiswahili? Click to expand... . WANGU MTENZI . University kwa kiswahili inaitwa chuo kikuu Hiyo ya sealing board ngoja watakuja wahuzi wengine watakufahamisha maana yake
WANGU MTENZI said: Haya wana Jamii F.Mwaambaje?Mie mgeni hapa ila nimepungwa sana na wana Jamii F. MASWALI YANGU HAYA MNISAIDIE 1.University kwa Kiswahili ni nini? 2.sealing ile ya nyumba yatwaje Kiswahili? Click to expand... . WANGU MTENZI . University kwa kiswahili inaitwa chuo kikuu Hiyo ya sealing board ngoja watakuja wahuzi wengine watakufahamisha maana yake
KARIA JF-Expert Member Joined Jan 15, 2011 Posts 717 Reaction score 473 Jul 6, 2012 #3 WANGU MTENZI said: Haya wana Jamii F.Mwaambaje?Mie mgeni hapa ila nimepungwa sana na wana Jamii F. MASWALI YANGU HAYA MNISAIDIE 1.University kwa Kiswahili ni nini? 2.sealing ile ya nyumba yatwaje Kiswahili? Click to expand... Inaitwa DARI.
WANGU MTENZI said: Haya wana Jamii F.Mwaambaje?Mie mgeni hapa ila nimepungwa sana na wana Jamii F. MASWALI YANGU HAYA MNISAIDIE 1.University kwa Kiswahili ni nini? 2.sealing ile ya nyumba yatwaje Kiswahili? Click to expand... Inaitwa DARI.
Katavi Platinum Member Joined Aug 31, 2009 Posts 42,099 Reaction score 12,926 Jul 6, 2012 #4 KARIA said: Inaitwa DARI. Click to expand... Ni dari au dali??
Dotworld JF-Expert Member Joined Aug 10, 2011 Posts 4,035 Reaction score 3,783 Jul 19, 2012 #5 Katavi said: Ni dari au dali?? Click to expand... Katavi huyu KARIA yupo sahihi inaitwa Dari dari[SUP]*[/SUP] nm ma- [li-/ya-] = ceiling, attic, loft.
Katavi said: Ni dari au dali?? Click to expand... Katavi huyu KARIA yupo sahihi inaitwa Dari dari[SUP]*[/SUP] nm ma- [li-/ya-] = ceiling, attic, loft.
Katavi Platinum Member Joined Aug 31, 2009 Posts 42,099 Reaction score 12,926 Jul 19, 2012 #6 Dotworld said: Katavi huyu KARIA yupo sahihi inaitwa Dari dari[SUP]*[/SUP] nm ma- [li-/ya-] = ceiling, attic, loft. Click to expand... Asante Dotworld Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Dotworld said: Katavi huyu KARIA yupo sahihi inaitwa Dari dari[SUP]*[/SUP] nm ma- [li-/ya-] = ceiling, attic, loft. Click to expand... Asante Dotworld