Salamu kwa PENGO, MALASUSA na mufti mkuu!!

mletamada kidogo ungepatia ila kwakuwa udini si hoja ktk mpambano ndani ya tz.tuyaache ya ngoswe yawe ya ngoswe na vilivyo vya kaisari tumpe kaisari.NI VIGUMU SANA KUBAINI SADAKA SAFI NA CHAFU.Dawa pokea zote ziombee na kuzitakasa kwa mujibu wa imani yako,ila nyumba za ibada zisitumike kusafisha wanasiasa
 
Naomba utoe ushahidi ni lini na wapi Cardinal pengo amewahi kumsafisha Lowasa,Au umechanganyikiwa,Nakuomba usilinganishe viwango vya maaskofu wa kkt na Pengo hawalingani hata siku moja,Ni maaskofu wapi walihongwa kipindi cha uchaguzi mdogo Arumeru nakuombo kama huna hoja kaa kimya
 
Matokeo ya Arumeru mashariki yamenipa raha sana,nawapa salamu zangu za dhati viongozi wa dini niliowataja hapo juu na wengine wanaofanana nao ya kwamba wananchi tukiamua kufanya kitu hawawezi kutuzuia. Wamekuwa msitari wa mbele kumsafisha Lowasa na maufisadi yake na kudhani wananchi wote wanapumbazika kumbe kumekucha,wananchi wanajitambua vilivyo. Na infact wanatakiwa kujua heshima waliyonayo ni sisi wananchi tunawapa ila kwa mwendo huu wa kuambatana na mafisadi tutawapuuza na hawataweza kutuzuia. Kila siku mtu mmoja anasimika maaskofu,mara harambee mara kuchangia shule,mara kwenye maulidi usiku asbh yake kusimika askofu!!!!how?why???viongozi wa dini mnatumika siyo bure...harambee kigoma mara shinyanga mara moro mara dar..kwa nini mtu huyo huyo? Tena mwenye kashfa?? Kwa matokeo ya arumeru mjifunze,tumewashinda wote mafisadi na matawi yao na wote wanaowasafisha...ccm inasemekana ziko kadhaa na hatukuchagua tumepiga kichwani wote ili waamke itachukua muda.hizi ni salamu zangu kwenu viongozi wa dini na wote mnaodhani mna mbeleko ya kubeba mafisadi.

Hujui unachokiongea ushaambiwa makanisa na misikiti sio mahakama kuhukumu bali nisehemu zinazojaribu kutoa mafundisho ya Mungu ili hao unaodhani ni waovu wabadilike. Kanisa likiweka vikwazo hivyo vya kijinga halitaweza kujenga Hospitali, shule na dhahanati. Wazungu na waarabu mbona walitufanyia vitendo vibaya sana katika nchi nyetu kabla ya uhuru na hata sasa lakini bado ndiyo wafadhiri wetu wakubwaaaa? acheni majungu!!!!!
 
Mimi ni mkatoliki.Naliheshimu sana Kanisa langu.Lakini nilianza kupoteza imani nalo kwa kuonesha upendeleo kwa FISADI Lowassa.NI WAKATI MWAFAKA KWA VIONGOZI NJAA WA DINI ZOTE KUJITATHMINI
UPYA TAMAA ZAO ZA PESA CHAFU
 
Hapa ndipo panaponifanya nikose kabisa imani na viongozi wa dini zote.Lakini wajue wazi kuwa safari hii Watanzania hawataki tena chaguo la Mungu bali wanataka rais mzalendo. Matokeo ya Arumeru ni mfano tu wa jinsi rais atakavyopatikana 2015
 
Kurudisha kondoo aliyepotea kundini ni vizuri km wanavyofanyiwa mafisadi ila viongozi waangalie namna na jinsi ya kuwarudisha.wasiwasafishe ila wawaombe wa2bu dhambi walizotenda na kuomba msamaha kwa waliowatendea
 
si halalishi wala sikanushi chochote mtoa mada alicho kimaanisha. Hili ni angalizo langu tu. Mtu yeyote ndani ya jamuhuri hii ya tanzania hataitwa mhalifu, hata fungwa kwa shutumiwa juu ya uhalifu fulani mpaka mahakama itakapo jiridhisha bila shaka yeyote kwamba mtuhumiwa amelitenda kosa ama kwa makusudi ama kwa kutokukusudia. Sina taarifa za mahakama yeyote kumhukumu lowasa kwa makosa anayoshutumiwa. Lakini pia msikitini na makanisani ni sehemu za wahalifu kuungama dhambi zao. Na wanapotoa zaka,sadaka,na michango mingineyo yakujenga misikiti na makanisa hatuwezi kuikataa kwa sababu sisi ni nani mpaka tuhukumu kuwa huyu katenda haya bila mahakama. Kama ameshutumiwa aendelee kubaki na shutuma mpaka mahakama itakaponena. Lakini kumzuia asichangie misikiti au makanisa haifanani na maamuzi ya wasomi na watu sala
 
Kwa hiyo unataka kusema Osama bin Laden hakuwa mhalifu!
 
images
images

images
images

Ha, ha, haaa...!
Nani amcheke mwingine?

Wewe mchokozi. Kwi kwi kwi
 
images
images

images
images

Ha, ha, haaa...!
Nani amcheke mwingine?

Hili janvi ni la GREAT THINKERS, ukileta longolongo yako hapa unaletewa ushahidi live!! Si mmeona Mufti Shaaban bin Simba anavyovuta mkwanja toka kwa Lowassa!! Halafu mtu anakuja eti oh Mufti hajawahi kupewa mchango na Lowassa.
 
Mag3 nakushukuru sana kwa kuweka jamvini ushahidi huu. Watu wanaosema Pengo hawezi kumsafisha fisadi Lowasa wakati ndo anasimika maaskofu kila siku....juzi tu alikuwa ifakara kusimika askofu kanisa analoliongoza Pengo. Jiulizeni kwa biashara gani halali inayomfanya atoe zaidi 20M karibu kila wiki?inawezekana anazo biashara lakini je ni halali?zinalipa kodi?mtu huyo ndo katuletea majanga ya kumuweka madarakani JK,leo wamepoteza direction na sasa inasemekana anaunda mtandao mwingine...mi najua atafanikiwa ndani ya ccm ila akitoka kichapo kama cha mkwilima wake sioi. Nasikia kichefuchefu ninapoona anazunguka makanisani kujifanya mfadhili! Viongozi wa dini walikuwa nasi kupinga ufisadi na kuwapinga mafisadi ila leo wako nao madhabahuni...eti harambee!!wanakuwa kama ole sendeka, napambana na mafisadi leo anakumbatiana nao...so sad!!the good news ni kwamba mafisadi na wapambe wao watashindwa tu...arumeru east ni trela tu
 
ndugu yangu usikae hata siku moja kuwakosea viongozi wa kiroho watake radhi kama utojali
kwa lipi? kusema ukweli sio kuwakosea. wao ndo wanatukosea watz...na kwa hakika wanatakiwa kutuomba radhi na waachane na hiyo mipango mbofumbofu. inaonekana wao wanamchukia JK kwa hiyo wanayoyafanya wanadhani wanamkomoa JK kumbe tunakomoka/au wanatuandalia majanga watz wote.
 
Mag3 nakushukuru sana kwa kuweka jamvini ushahidi huu. Watu wanaosema Pengo hawezi kumsafisha fisadi Lowasa wakati ndo anasimika maaskofu kila siku....juzi tu alikuwa ifakara kusimika askofu kanisa analoliongoza Pengo. Jiulizeni kwa biashara gani halali inayomfanya atoe zaidi 20M karibu kila wiki?inawezekana anazo biashara lakini je ni halali?zinalipa kodi?mtu huyo ndo katuletea majanga ya kumuweka madarakani JK,leo wamepoteza direction na sasa inasemekana anaunda mtandao mwingine...mi najua atafanikiwa ndani ya ccm ila akitoka kichapo kama cha mkwilima wake sioi. Nasikia kichefuchefu ninapoona anazunguka makanisani kujifanya mfadhili! Viongozi wa dini walikuwa nasi kupinga ufisadi na kuwapinga mafisadi ila leo wako nao madhabahuni...eti harambee!!wanakuwa kama ole sendeka, napambana na mafisadi leo anakumbatiana nao...so sad!!the good news ni kwamba mafisadi na wapambe wao watashindwa tu...arumeru east ni trela tu

Wanaongoza viongozi wa makanisa kwa ujinga huo; mufti ni kibaraka wa ccm hana ushawishi kwa waislamu kama ilivyo pengo kwa wafauasi wake, akiwaambia JK chaguo la Mungu wanaitikia amini..wajinga ndio waliwao..

Come 2015 watasema Sitta au Member chagua la Mungu utaona waumini wao watakavyoimba the same song..lol
 
ndugu yangu usikae hata siku moja kuwakosea viongozi wa kiroho watake radhi kama utojali

katika hilo napingana na wewe viongozi wadini wakikosea ni lazima waambiwe ukweli kwa maana kweli itawaweka huru daima.kwanza tambua kuwa hao maaskofu ni bínadamu kama wengine hivyo uwezekano kukosea ni mkumbwa sana hivyo kuwakosoa nijukumu letu sote pamoja na wewe.tuacheni porojo tusimame kwenye ukweli ili hiyo kweli ituweke huru.hakuna kumuonea mtu haya akikosea vidonge atapewa
 
Back
Top Bottom