Salamu Gani Hii Kwa JK

Salamu Gani Hii Kwa JK

Ndallo

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2010
Posts
7,619
Reaction score
4,303
Kila nikiiangalia picha hii kwa kiongozi wa upinzani kumsalimia JK kwa ishara hii nashindwa kupata picha halisi!
mrema.jpg
 
Kila nikiiangalia picha hii kwa kiongozi wa upinzani kumsalimia JK kwa ishara hii nashindwa kupata picha halisi!
mrema.jpg

Anamshukuru Mkwere kwa kukubali kwa wabunge wa CCM kuichakachua kambi rasmi ya upinzani ili apate Uenyekiti wa Kamati za Bunge
 
Naona hata hao jamaa hapo nyuma ya Mrema wanacheka! Kweli shida mbaya sana!
 
Heri uwe masikini wa mali kuliko akili
 
Maskini wa mali anajijua kwa vile hana kitu, maskini wa akili atajijuaje?
 
Huyu ndie shujaa wa wengi nji hii aliyechakachuliwa kiakili na kiafya.
 
duh,huruma sana,
ila naona juzijuzi kapewa udokta.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom