Salama Jabir vs Dj Fetty

warumi

R I P
May 6, 2013
16,273
18,383
These two chicks wanadatisha wadau mbalimbali wa burudani apa Bongo,nawazungumzia watangazaji wenye makeke na swagga classic zenye ladha na mvuto wa kipekee.

Hapa Salama Jabir akitangaza kipindi cha mkasi,kule Dj Fetty demu pekee anayefanya wonders kwenye program ya xxl pale clouds fm.

Hawa ni kati ya watangazaji makini na wanaojiamini sana pale wanapokuwa mzigoni,ubunifu wao na utangazaji wao ndio unaowaongezea mashabiki wa kutosha kila kukicha.

Salama amekuwa akiwapa wakati mgumu washiriki wa BSS,hii inatokana na umakini wake kama judge huwa hafanyi masihara kabisa,japokuwa amekuwa akipondwa na wengi kuhusu

Judging yake still she stands kama yeye na hakuwahi kuteteleka,she is a woman full of confidence.

Pale kama ukibahatika kusikia anachofanya Fetty studio duuuh its amazing she is doing extra ordinary things. Kama unakumbuka last big brother season aliwahi kufanya mavituzi mjengoni.

Sio mchezo,hawa mademu ni nouma,hapa sijui nani mtangazaji mkali kuliko mwenzie,mtangazaji anayeongoza kupendwa na kusikilizwa na watu wengi
.
 
Salama is the best ni mtu ambaye anamchango mkubwa sana kwenye bongofleva hasa upande wa video kaleta mabadiliko sana kupitia planet bongo wale wa kipindi kile wenye tv watakubaliana nam .
 
PLANET haina usalama BONGO inasomewa UK,but salama is great.
Salama is the best ni mtu ambaye anamchango mkubwa sana kwenye bongofleva hasa upande wa video kaleta mabadiliko sana kupitia planet bongo wale wa kipindi kile wenye tv watakubaliana nam .
 
Umemkosea Salama J heshima kumlinganisha na bwana mdogo Fetty. Unajua historia yao au kubonyeza key board na kutype?

Salama is talented and more than genius unamjua **SAIGON by then alikuwa anaanda kpindi cha HIP HOP BASE hawa pia wamechangia mziki kuwa hapa ilipo siyo huyo dogo f **.

By the way linapokuja suala la upresenter na hajawai kumgeza mtu mi huyo Fetty namjua vizuri pindi nasoma A town, alikuwa akitoka shule yeye na B-12 wanaenda pale Mawingu Arusha kipindi hicho mapresenta wa Mawingu.

Kwa Arusha walikuwa Glory Robinson na Gadner G Habash ndipo walipokuwa wanapewa muda kidogo kujifunza na kwa wale wanaomjua Fetty alianza kumuiga sauti Glory Robinson Mtoto wa mama Sabuni.

Kwa leo naishia hapa ukitaka nifunguke ntarudi Alah.
 
Aaaah Glory Robinson mtoto wa mama sabuni kipindi flani nilkuwa namsikia pale RFA cjui kama bado yupo
 
Aaaah Glory Robinson mtoto wa mama sabuni kipindi flani nilkuwa namsikia pale RFA cjui kama bado yupo

Aisee huyu dada sijui kapotelea wapi. Nilikuwa napenda kumsikiliza sana.
 
Ahsante kwa maelezo mafupi, ila hapo kwenye A town unamaanisha A twn mkoa au ndio jina la school.

Kuhusu Fetty na Salama kila mmoja ana sifa na vivutio vyake, kuna anavyoweza Fetty Salama hawezi na vice versa.

Ila kuna mambo wanashahibiana, wote ni mashombe, wote ni wana vielementi vya kidume haswa ugomvi, nimeshamsikia Fetty mara kadhaa anachimba biti akiwa hewani...aliwahi kumchimba biti dogo mmoja wa bongo fleva akiwa kwenye interview xxl...something like...nitakuzibua (kama nakumbuka vema), Salama anatumia cha Arusha ila sina uhakika kwa Fetty ila najua anakula gomba...siku moja alikuwa anatoa ushuhuda jinsi jamaa zake walivyodakwa na mamwela yeye akaachwa wakati wote walikuwa wanachanja gomba.

And last but not least...napenda kuwasikiliza na kuwaangalia wote.
 
Ahsante kwa maelezo mafupi, ila hapo kwenye red unamaanisha A twn mkoa au ndio jina la school.

Kuhusu Fetty na Salama kila mmoja ana sifa na vivutio vyake, kuna anavyoweza Fetty Salama hawezi na vice versa.

Ila kuna mambo wanashahibiana, wote ni mashombe, wote ni wana vielementi vya kidume haswa ugomvi, nimeshamsikia Fetty mara kadhaa anachimba biti akiwa hewani...aliwahi kumchimba biti dogo mmoja wa bongo fleva akiwa kwenye interview xxl...something like...nitakuzibua (kama nakumbuka vema), Salama anatumia cha Arusha ila sina uhakika kwa Fetty ila najua anakula gomba...siku moja alikuwa anatoa ushuhuda jinsi jamaa zake walivyodakwa na mamwela yeye akaachwa wakati wote walikuwa wanachanja gomba.

And last but not least...napenda kuwasikiliza na kuwaangalia wote.

mkuu ni atwn MKOA SI SHULE.
 
Binafsi nawakubali sana hasa kwa kumudu vipindi vyao, kwa kweli hua wananikosha sana.
Tukija upande wa matendo yao yanayosemwa kua wanajihusisha na mapenzi ya jinsia moja ama wanatumia majani na migomba, hapo siwaungi mkono na kama wanafanya kweli basi waanze kubadilika.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom