D Dennize Member Joined Jul 14, 2012 Posts 7 Reaction score 3 Jul 22, 2012 #1 Hay! Niajeh wenyeji Im a newer here! Huku patamu kama fb kweli
Mphamvu JF-Expert Member Joined Jan 28, 2011 Posts 10,702 Reaction score 3,348 Jul 23, 2012 #2 Dennize said: Hay! Niajeh wenyeji Im a newer here! Huku patamu kama fb kweli Click to expand... Salaam alhabiby, utamu wa huku unategemea wewe una interest zepi, kwa zogo tu, Chit-Chat ndo mahala pake, ukitaka kichwa kiume kidogo, kuna jukwaa lipo kule juu laitwa la siasa. Kabla tuendelee, wewe wa kivulana au wa kisichana?
Dennize said: Hay! Niajeh wenyeji Im a newer here! Huku patamu kama fb kweli Click to expand... Salaam alhabiby, utamu wa huku unategemea wewe una interest zepi, kwa zogo tu, Chit-Chat ndo mahala pake, ukitaka kichwa kiume kidogo, kuna jukwaa lipo kule juu laitwa la siasa. Kabla tuendelee, wewe wa kivulana au wa kisichana?