Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,363
- 58,386
Mmmh akuPM kuhusu nini sasa?Unataka kumpeleka ughaibuni kumuondolea adha ya mgao?
Mzee umeamua kuokoteza masalia, imekuwaje tena unataka yeyote ili mradi demu?
Mi nataka!Jua na vumbi vishanichosha!namleta huku kama anataka apigwe kidogo na baridi
vipi unanipm?Heri ya mwaka mpya mhh Ivuga wewe
Mi nataka!Jua na vumbi vishanichosha!
Kwani we unataka vigezo gani??Mi mnene kidogo...rangi ya kiAfrika...nimeishia form 4...mchapa kazi na mpenda maendeleo!unavigezo gani? sitaki kukuuliza hata umri wako...sheria zangu mwanamke haulizwi umri hata siku moja
namleta huku kama nataka apigwe kidogo na baridi
Kwani we unataka vigezo gani??Mi mnene kidogo...rangi ya kiAfrika...nimeishia form 4...mchapa kazi na mpenda maendeleo!
Halafu akishapigwa na baridi? Kipi kitafuata? unamrudisha tena bongo? Nachokoza tu LOL!
BAK nimepata safari ya kwenda ulaya...embu niambie wangu niende nikashangaeshangae na mimi?Halafu akishapigwa na baridi? Kipi kitafuata? unamrudisha tena bongo? Nachokoza tu LOL!
Wewe huku UngaLTD kunavyotisha hata kesho njoo unichukue!Ila kwanza nipe vigezo vyako!Alafu usikute unataka kunichuna ngozi ndo maana unafurahia ya asilia!lahaula !! hayo ndio mambo nnayoyataka basi..yaani uliposema rangi ya kiafrica ndio ukaniua kabisa .Arusha kwanza ndio home town nabidi unipm tuongee vizuri.uko tayari lakini kuchukuliwa?
Wewe huku UngaLTD kunavyotisha hata kesho njoo unichukue!Ila kwanza nipe vigezo vyako!Alafu usikute unataka kunichuna ngozi ndo maana unafurahia ya asilia!
Mchungaji kakataa kushiriki maombi ya mwaka mpya na mimi...nimesikitika!Love! mchungaji atatuma salamu kesho saa za bongo! Be blessed all! nawapenda wote