Nimeyaona mahojiano ya Iive kati yako salam na DJ wily tuva then ya ali na wily ,
Kwanza hakuna haja ya ali kuomba msamaha kwa kusema show ilizimiwa backstage na we we kuita ni upotoshaji kwamba backstage hakukai sound MTU anaweza zima sound just kwa ku ORDEr then umekili kuwa ulikuwa backstage wewe wizkid na meneja wa chriss brown katika mazingira ambayo shoo ilisimama kwa nusu saa kutokua na uelewano apande ali Ana wiz kid then katika mazingira yaleyale ya we we kuwa na wizkid,meneja wake na Chris's brown bado kunaacha shaka kwamba unaweza kuwa ili influence mitambo kuzima katika perspective ya kibiashara coz ulienda tangaaza ama uza bishaa yako dhidi ya bidhaa iliyokuwa ina perform yumkini