Salam Kutoka Chuo cha Maji

Chuo cha Maji

Member
May 4, 2017
54
34
Habari za Maisha wana Jukwaa.
Chuo cha Maji, kilichopo Ubungo University Road tunaomba kupokelewa katika familia ya Jamiiforums. Tumefungua account hapa ili tuwe karibu zaidi na wadau wetu katika sector ya elimu, mazingira na Maji hapa Tanzania.
Tunashukuru sana uongozi wa Jamiiforums na Members wote kwa kutupokea.
Asanteni.
 
Karibuni sana.
Mjitahidi kua online tuna maswali kibao yanayohitaji majibu kuhusiana na taaluma ya maji, vigezo na sifa za kujiunga hapo chuoni.
 
Habari za Maisha wana Jukwaa.
Chuo cha Maji, kilichopo Ubungo University Road tunaomba kupokelewa katika familia ya Jamiiforums. Tumefungua account hapa ili tuwe karibu zaidi na wadau wetu katika sector ya elimu, mazingira na Maji hapa Tanzania.
Tunashukuru sana uongozi wa Jamiiforums na Members wote kwa kutupokea.
Asanteni.
Nataka sana tender ya kusupply vifaa na dawa za maabara...nisaidie nianzaje?
 
Karibuni sana Wataalamu wa maji.
Utatusaidia ushauri wa kusafisha maji kwa utaalamu wenu pia jinsi ya kuondoa/ kupunguza chumvi kwenye maji ya Kisima(BOREHOLE)
 
Habari za Maisha wana Jukwaa.
Chuo cha Maji, kilichopo Ubungo University Road tunaomba kupokelewa katika familia ya Jamiiforums. Tumefungua account hapa ili tuwe karibu zaidi na wadau wetu katika sector ya elimu, mazingira na Maji hapa Tanzania.
Tunashukuru sana uongozi wa Jamiiforums na Members wote kwa kutupokea.
Asanteni.
Hivi mnachukuwa muda gani kumfungia /kumpelekea huduma ya maji mteja baada ya kuwa kalipia gharama zenu zote? Maana wiki ya tatu sasa tangu tumelipia tunaona wanakuja wanazunguka zunguka wanaondoka
 
ukisikia zwazwa ndio wewe
hivi hujui maana ya chuo?
 
Back
Top Bottom