Saladi zinaweza kustawi nje ya mto?

Saladi zinaweza kustawi nje ya mto?

GoldDhahabu

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2023
Posts
7,648
Reaction score
10,843
Sijui kama zina jina jingine zaidi ya tulilolizoea tokea tukiwa wadogo!

Arusha tulikuwa tukiziita SALADI. Na Mwanza napo pia zianitwa hivyo, japo ni watu wachache wanaozifahamu, na hata upatikanaji wake ni adimu. Lakini ukifika soko kuu la

Mwanza unaweza ukabahatika kuzipata.

Kwa kawaida hizo mboga zinaoteshwa pembezoni mwa mto unaotiririsha maji. Sijui kama inawezekana kuziotesha nje ya mto.

Inawezekana kuotesha nje ya mto? Nimejaribu kutafuta taarifa zake mtandaoni lakini sijafanikiwa kuziona. Labda zina jina jingine zaidi ya SALADI?

Msaada tafadhali kwa mwenye taarifa!
 
KARATU ZPO NYNGI SANA WANALIMIA MTOWAMBU PEMBEZONI MWA MTO.NAAMINI KINACHOTAKIWA NI MAJI KM UNA MBEGU UNAWEZA KUSTAWISHA
 
WATERCRESS KWA KIINGEREZA.INASTAWI KWENYE MAJI.taarifa zake zpo tafuta kwa kingereza
Basi mi siku zooote najuaga saladi ni hii (Lettuce) hii ndo huwa naiita saladi kumbe sijui 😁
images (27).jpeg
 
Sijui kama zina jina jingine zaidi ya tulilolizoea tokea tukiwa wadogo!

Arusha tulikuwa tukiziita SALADI. Na Mwanza napo pia zianitwa hivyo, japo ni watu wachache wanaozifahamu, na hata upatikanaji wake ni adimu. Lakini ukifika soko kuu la

Mwanza unaweza ukabahatika kuzipata.

Kwa kawaida hizo mboga zinaoteshwa pembezoni mwa mto unaotiririsha maji. Sijui kama inawezekana kuziotesha nje ya mto.

Inawezekana kuotesha nje ya mto? Nimejaribu kutafuta taarifa zake mtandaoni lakini sijafanikiwa kuziona. Labda zina jina jingine zaidi ya SALADI?

Msaada tafadhali kwa mwenye taarifa!
Ndiyo zinaota vizuri tu, wewe tu na maji ,hakikisha zinapata maji asubuhi na jioni
 
Sijui kama zina jina jingine zaidi ya tulilolizoea tokea tukiwa wadogo!

Arusha tulikuwa tukiziita SALADI. Na Mwanza napo pia zianitwa hivyo, japo ni watu wachache wanaozifahamu, na hata upatikanaji wake ni adimu. Lakini ukifika soko kuu la

Mwanza unaweza ukabahatika kuzipata.

Kwa kawaida hizo mboga zinaoteshwa pembezoni mwa mto unaotiririsha maji. Sijui kama inawezekana kuziotesha nje ya mto.

Inawezekana kuotesha nje ya mto? Nimejaribu kutafuta taarifa zake mtandaoni lakini sijafanikiwa kuziona. Labda zina jina jingine zaidi ya SALADI?

Msaada tafadhali kwa mwenye taarifa!
Picha Mkuu!
 
Kwa maelezo yako hiyo ni watercress au yellowcress. Inahitaji maji mengi kukua.Jina la kisayansi Nastrutium officinale.
 
WATERCRESS KWA KIINGEREZA.INASTAWI KWENYE MAJI.taarifa zake zpo tafuta kwa kingereza
Nashukuru sana mkuu! Nimeziona. Nitafanyia majaribio kuotesha kwenye "containers". Wazungu wanadai zinastawi hata kwenye "makopo".
 
Basi mi siku zooote najuaga saladi ni hii (Lettuce) hii ndo huwa naiita saladi kumbe sijui 😁
View attachment 3324674
Na "ujanja" wako woote ulikuwa hujui kuwa kuna mboga nzuri, tamu na zenye virutubisho lukuki ziitwazo "SALADI"😀

Sisi tuliziita SALADI, lakini Wazungu wanaziita WATERCRESS au YELLOWCRESS kama alivyosema GEBA2013
 
Daaah yani mi najuaga saladi ni hiyo 😂😂
 
Back
Top Bottom